Hao Wanaowajibishwa ndio hao tuu?!

Hao Wanaowajibishwa ndio hao tuu?!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
15,331
Reaction score
22,312
Nimeona ziara mbalimbali za Viongozi wetu,Wakitumbuatumbua majibu!Kinachonishangaza!Miradi ya kila Wilaya,Mkoa viongozi wapo!Iweje wawajibishwe wachache?Hawa wengine hawaoni?Mpaka afike Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri mkuu nk?!
 
Nadhan wanaona na kuandika reports na recommendations kwa mamlaka ya uteuzi
 
Nimeona ziara mbalimbali za Viongozi wetu,Wakitumbuatumbua majibu!Kinachonishangaza!Miradi ya kila Wilaya,Mkoa viongozi wapo!Iweje wawajibishwe wachache?Hawa wengine hawaoni?Mpaka afike Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri mkuu nk?!
DC, DED, DC, RC wote hawa Mamlaka ya ya uteuzi ni Rais na anaweza akawasiliana nao direct bila ya chain of command.

unaweza ukamtingisha DED kwny mradi fulani kumbe kateuliwa makusudi kuja kutekeleza huo mradi kwa style hiyo anayofanya

wale waliofika Ofisini wakakomaa na Sheria, taratibu na circulars wengi waliangukia pua

kama huna taaluma ya unafiki unafiki huko hutoboi kwa kuwa utasukiwa zengwe bila ya kujua

Ally Hapi yupo wapi? alienda kugusa visvyoguswa na hadi MH.Rais akamwambia hadharan usiogope nimekumegea madaraka yangu upambane nao…akaingia mzima mzima akapotea

kwny hizi kazi zisizo na job description wee Kwny Fitna usikose, majungu kidogo usikose, kujipendekeza kidogo usikose, utendaji kidogo, madiwani waloweshee siku moja moja, Chama mkoa, Viongozi wa dini kidogo, then media kidogo n.k

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Duuh haatariii
 
Wengi wanawawajibishwa kwa sababu za kisiasa na kwasababu za kiutendaji mfano huko kusini kadi za CCM zilirudishwa kwa kasi "utumbuzi" mkubwa umefuatia lakini ripoti ya CAG imewataja wengi katika upotevu wa fedha lakini hatuoni hatua zozote za kinidhamu na kisheria zikichukuliwa.
 
Upo sahihi kabisa
 
Hii ni hatari
 
Back
Top Bottom