Hao Wamerudi...

Hao Wamerudi...

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
76,283
Reaction score
108,292
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba 30, 2013 wakitokea Marekani katika ziara ya kikazi.

00_3c708.jpg
 
Tittle ilipaswa kuwa"wamekuja" maana baada ya muda mfupi watarudi kubembea huko walikotoka
 
Natamani na mimi niwe rahisi ili nizurure kama huyu jamaa....
 
wenzenu wanaenda kutembea nyie mwachoka hapo xaxa chenga la macho kila cku kazi ukute anamakao mapya wameanzisha huko
 
Amekuja,sijui atarudi lini ofini kwake kwenye vibembea
 
Kazi wanayo wale wa kitengo cha upokeaji, simuoni Sadick wa Dar au kachoka upokeaji?
 
Back
Top Bottom