Hans Pope ampiga kijembe Manji

mnaulizia mwaka wangu wa kuzaliwa ili iweje,kwani mmesikia nataka kushiriki umiss
 
Simba hamna hela ya kumsajili Msuva kutoka yanga labda timu yote ya simba iwe chini ya yanga,,,,

Hivi unajua kuwa akaunti za benki za Yanga Sports club zina zero balance?
 
Yanga haina rekodi ya kuuza mchezaji. Msuva alipojitambua atafia hapo hapo. Amuulize Tegete
 
Yanga haina rekodi ya kuuza mchezaji. Msuva alipojitambua atafia hapo hapo. Amuulize Tegete

Kama tulivyomuuza Amri Kiemba kwa Tshs. 10,000,000.00 kwenye timu ya Azam
 

Attachments

  • 1416906122503.jpg
    41.4 KB · Views: 36

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…