Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
nimesoma habari hizi kwa jamaa mmoja kuwa Mo Dewj kama alivyosema before yupo tayari kuichukua Simba na tatizo limebaki kwa Hans Pop kwa maana ya kuwa wengine wote wapo tayari au wamekubaliana na jambo hilo. inasemekana tatizo kubwa ni kuwa hans pop kuna wachezaji aliowasajili kwa pesa zake mwenyewe so kama team itachukuliwa na mtu mwingine yeye atakula hasara. nadhan hapa tatizo ni 10% kama sikosei ikiwa ni kweli hayo yasemwayo.
Tumeona siku za hivi karibuni team ya Simba ikiwa katika hai ya kusua sua kutokana na Ukata na Ingawa tusingependa simba iwe kama yanga ambao wanamwabudu sana Manji lakin tulipenda Simba iwe kma zilivyo Chelsea n.k
tunajua katika hizi timu kuna watu huwasajili wachezaji kwa lengo la kuvuna pesa kupitia wao. yaani kupata asilimia kadhaa za mshahara wa mchezaji husika.lakini sitaki kuamini watu wataweka zaidi matakwa yao mbele na kusahau hali ya sasa iliyopo klabuni. ni wazi wachezaji wa simba wamekosa morali kabisa na hili ndo tatizo tulilo nalo. wanacheza chini ya kiwango na pasipo morali kutokana na kutowekewa mazingira mazuri.
kama kuna ukweli katika haya Simba itakuwa na wakati mgumu sana katika Misimu Mingi ijayo.