Hanipi hamu ya kimapenzi

mojawapo ya dalili za ushoga.....jichunguze vizuri dogo....
 
Endelea tu kuwa mpenzi mtazamaji haina shida
 
Nina demu ambaye yeye ndio alinitongiza na ana mtoto ana miaka 18 na mm nampenda but cjawahi hata siku moja kufikiria kufanya naye mapenzi

Na ndio kinacho nishangaza kabisa na ana nipenda hadi naona kero mda wote anatak niwe naye
Ni mweupe?au mwesi
Kama mweusi kula maana joto kama zimamoto
 
Nina demu ambaye yeye ndio alinitongiza na ana mtoto ana miaka 18 na mm nampenda but cjawahi hata siku moja kufikiria kufanya naye mapenzi

Na ndio kinacho nishangaza kabisa na ana nipenda hadi naona kero mda wote anatak niwe naye
Mtu ana mtoto wa miaka 18 UNAMUITA DEMU?????
Tafadhali shika adabu yako!!!!
 
Kijana anataka mjue kuwa anamtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…