Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Yaani ndio uone simu mpya ilivyo na kiherehere lol...sijataip yenyewe ishajitaip na kujipost woiii.....[emoji125][emoji125][emoji125]Daah hizo batan za simu ziko vzr?
[emoji23] [emoji23]Yaani ndio uone simu mpya ilivyo na kiherehere lol...sijataip yenyewe ishajitaip na kujipost woiii.....[emoji125][emoji125][emoji125]
Umeona hanipi hamu kabisaHilo hutokea hata mimi kuna wanawake wawili huwa sipati hisia nao hata wanioneshe viungo vyao.
Yupo freshJogoo wako hawiki au? Au ndio wale wanaowika saa mbili usiku?
Wadar mmeanzawa mikoani mnatutia aibu
hamuwezi kupiga kazi
But wapo wachacheMwanamke kumtongoza mwanaume is the greatest mistake ever!
But yeye ana nipenda na nacho ogopa kumupa mimba nyinginePolee, ila mechi za ugenini unacheza?
Muache tu
Asante kwa ushauri broMDOGOWANGU:
Hata Askari Monument Ipo Pale Posta, kila mtu anaipenda anaiona anaenda kupiga selfie, lakini hata sikumoja haijawahi kubadilika kuwa Askari Monument!
Jiongeze mdogowangu, tengeneza maisha yako la sivyo utakuwa kama kaka zako wa Bongo Movie... hauendi mbele hurudi nyuma!
inshort yafanye Mapenzi kama Askari Monument
Mimi ni Bibi wajukuu 3... Bro hio vepe?Asante kwa ushauri bro
Wewe unafagia popote eenhwa mikoani mnatutia aibu
hamuwezi kupiga kazi
Wewe yule wa Jf aliyekutongoza hukumnanii?Mwanamke kumtongoza mwanaume is the greatest mistake ever!
Tatizo hakuwa na chura mkuu!Wewe yule wa Jf aliyekutongoza hukumnanii?
Nani na nani wanazo humu?Tatizo hakuwa na chura mkuu!
Siku hizi umekuaMwanamke kumtongoza mwanaume is the greatest mistake ever!
ndiyo,nataka nikutongoze unipe utamu sasa!Siku hizi umekua
Humu chura anayo Khantwe peke yake!Nani na nani wanazo humu?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] utaweza????ndiyo,nataka nikutongoze unipe utamu sasa!
Lakini wewe humpendi, huoni unampotezea muda wake?But yeye ana nipenda na nacho ogopa kumupa mimba nyingine