Hang over

dorin, jamani she is just a friend!!!

Laprima ni uwanja wa nyumbani kabisa..nitakuwa counter pale!!!:A S shade:
 
Last edited by a moderator:
dorin, jamani she is just a friend!!!

Laprima ni uwanja wa nyumbani kabisa..nitakuwa counter pale!!!:A S shade:

kaka nitakua nipigilia Tshirt ya Eco na jeans mpauko. nitakua Counter. nakula changu taratiiiiib
 
ha ha ha ha ha hichi ndio changu sasa. Yaani hakyanani lazima niende kama changa la macho potelea mbali Rural Swagga
Mlachake;wacha fujo bhana ila kama unaforce karibu ,mimi leo nikitoka kwenye kutafuta rizki lazima nipite la-prima kucheki mazingira maana kitambo sana sijaingia ile sehemu
 
Mkuu utani update pamekaaje na Bei ya ile kitu nisiiingie kichwa kichwa. unaagiza 3 unaambiwa 15k. si unajua tena bei siku hizi hazijakaa poa.

mie nitatia team kesho jioni. nitakupiem Pacha
 
Usiwe na hofu kijana wangu,,Yote nitayazingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…