sijakuelewa dada dorin.,,,,Embu edit kidogo maelezo yakoJamani jana nimekunywa biere mpaka saa nane asubuhi. nimeingia ofisini leo saa mbili asubuhi kichwa kinaniuma mpaka saa hii.
Hangover huwa inaisha baada ya muda gani?
Kweli hangover haijakutoka embu soma hapo kwenye maandishi ya Red.Jamani jana nimekunywa biere mpaka saa nane asubuhi. nimeingia ofisini leo saa mbili asubuhi kichwa kinaniuma mpaka saa hii.
Hangover huwa inaisha baada ya muda gani?
Soma haya maandishi ya Red(Jamani jana nimekunywa biere mpaka saa nane asubuhi.) Doreen katafute basi hata Kongoro au Supu ya Mkia saa hizi unapata kichwa kikae sawa.I meant to say Biere. not beer as you want me to say.
supu saa hii?
Soma haya maandishi ya Red(Jamani jana nimekunywa biere mpaka saa nane asubuhi.) Doreen katafute basi hata Kongoro au Supu ya Mkia saa hizi unapata kichwa kikae sawa.
Jamani jana nimekunywa biere mpaka saa nane asubuhi. nimeingia ofisini leo saa mbili asubuhi kichwa kinaniuma mpaka saa hii.
Hangover huwa inaisha baada ya muda gani?
Samehere,,,LolNA!?? kwani zaidi ya kunywa kuna anything else?? ..am getting interested.
Samehere,,,Lol
Please take your swaga somewhere else..preferebly RURAL AREAS!
The awkward moment when you realize your joke isn't as funny as you thought...Kaka tutabanana wote siendi kokote
NOTE:its All about that booty, big booty duty
hahahaha,,Laaa kucha Meku,,Waidikire sana mbeYour Intelligence Is My Common Sense!!!!:A S shade: Don't you forget...:nono: