"Handwrittings" katika "cover letter" .....

"Handwrittings" katika "cover letter" .....

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,146
Hivi waajiri bado wana kasumba ya kutaka "hand writting" katika "cover letter"? Maana kuna waomba ajira wengi ambao wanaamini katika hili? Je sababu za msingi ni zipi?
 
Japo watu wengine wana miandiko ya kuchora chora si issue. Kwanza siku hz hata vijijini kuna computer sidhani kama kuna kazi ya kufanya ofisini kwa kufanywa na mkono. Wizi mtupu mana wingine wenye miandiko mibaya ndo vichwa.
 
Wanapenda kuona ni muandiko gani unatawafaa zaidi ktk kuandika card.
 
Sidhani kama Kuna mwajiri anajishughulisha kuangalia mwandiko.
 
Watu wenye mwandiko mbaya wakifarijiana na kutuaminisha kuwa mwandiko mzuri siyo issue ya kuchukulia manani.
 
Back
Top Bottom