Handsome hadi uzeeni.

🙂hahahahahahahahahahaha. good fun!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Love is in the air between FL1 na Handsomeboy doh

Shosti FL1 hebu fanya hima sie tufungishe ndoa ya pili hapa JF ye Geoff ishakamilika ati
 
Love is in the air between FL1 na Handsomeboy doh

Shosti FL1 hebu fanya hima sie tufungishe ndoa ya pili hapa JF ye Geoff ishakamilika ati
JS kwani Geoff alipata mchumba huku?
 
JS kwani Geoff alipata mchumba huku?

Sina hakika ila nimemaanisha member wa JF mwingine tumtoe kimasomaso tena kama FL1 na kitchenparty juu iliyoenda shule..........
 
halikuwa kama mimi maneno yangu ujue ushindi mwisho

mmh kwenye red ukanipotosha wa nyumbani duh!!! (i had to use xtre calories)


mmh

Haya mrembo hila taratibu usijiunguze, mi wewe niiite chochote niweza kufika karibu yako (joke) kwi kwi kwi.

Hila unavutia sana we huji tu, sisi wengine ndio tunao umia FL1 kweli kabisa hiyo.

mmh!!


bluu ukapatia, red no ukaendeleza filler word yako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…