Hamueleweki wapinzani

Hivi karibuni, mbunge wa mbeya ameibua hoja bungeni kutaka tume huru ya uchaguzi na matokeo ya urais yahojiwe.

Kwanza wacha niseme ukweli, almost ya watanzania hawaziamini mahakama za Tanzania, wamekuwa wakitoa matamko kwamba zinaingiliwa na viongozi wa juu.

Kuna watu walipata nafasi kupeleka kesi zao katika mahakama ya Africa ya mashariki kwa kuamini kupata haki kutokana na chombo kile kina uhuru zaidi.

Swali kwa upinzani

Mnataka tume huru ya uchaguzi na matokeo yahojiwe jee mmejipanga kuyapokea matokeo ya mahakama ambazo hamziamini?

In fact juzi tu hukumu ya mahakama mmelia sana. Kwa nini msidai katiba mpya tukaja na mfumo mzima wa uwendeshaji mamlaka wenye uhuru?

Sent using Jamii Forums mobile app
Awaeleweki kama kuku aliepatwa na kideri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi karibuni, mbunge wa mbeya ameibua hoja bungeni kutaka tume huru ya uchaguzi na matokeo ya urais yahojiwe.

Kwanza wacha niseme ukweli, almost ya watanzania hawaziamini mahakama za Tanzania, wamekuwa wakitoa matamko kwamba zinaingiliwa na viongozi wa juu.

Kuna watu walipata nafasi kupeleka kesi zao katika mahakama ya Africa ya mashariki kwa kuamini kupata haki kutokana na chombo kile kina uhuru zaidi.

Swali kwa upinzani

Mnataka tume huru ya uchaguzi na matokeo yahojiwe jee mmejipanga kuyapokea matokeo ya mahakama ambazo hamziamini?

In fact juzi tu hukumu ya mahakama mmelia sana. Kwa nini msidai katiba mpya tukaja na mfumo mzima wa uwendeshaji mamlaka wenye uhuru?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hamna tume huru. Mimi na wanaonizunguka sii familia tuu hata marafiki zangu. Hatuoni haja kwenda kupiga kura. Mshindi tayari anajulikana tunaenda kufanya Nini ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida hawa wapinzani hawana ubongo, akitokea mwanaccm anapingana na ccm yake wanakuwa upande wao bila kujua nini kitachofata, sasa kipindi kile kuna wanaccm(mfano: lipumba) walikuwa upande wao wakawashawishi wasusie, na wao kama manyumbu wakasusa

Sent using Jamii Forums mobile app
WASIYO NA UBONGO WAKIENDA CCM WANAKUWA MA-GENEUS GHAFLA ETI? Waitara,Katambi,Shonza,Mtolea n.k ndo 'THINK TANKS" WENU SIKU HIZI.
 
Nimeeleza vizuri, hakuna na hakukuwa na uwezekano wa kuundwa Katiba Nzuri kwa sababu CCM wana MAJORITY, kuanzia Bungeni mpaka kwa wananchi. CCM ni sehemu ya wananchi, wanaushawishi kwa wananchi. Hata unaposema wananchi ndio wataamua katiba, unatakiwa kujua kura ikipigwa Wananchi wengi wako upande wa CCM. Huo ndio UJONGOO wenu, kujifanya hamjui.
Rasimu ya Chenge ni matokeo ya mfumo uliokuwepo wa Bunge la katiba, kukubali mfumo ule ndio UJONGOO wenu huo. Jifunzeni wale watu 9 wa Ghana waliwezaje kutengeneza katiba bora. Nyinyi mlitaka platform muonekane mnavopiga kelele kumbe mwisho wa siku ni kura ndiyo inaamua sio hoja.
Suala la tume huru ni suala la kisiasa, haliwezi kupita bila kuwepo mjadala wa kina. Hakuna uwezekano wa mswaada kupita bila kushirikisha wadau na kujadiliwa kwa kina. Tume huru haiwezi kupitishwa kama sheria ya madini. Pole sana.
1. Sawa nikubaliane na wewe CCM ina majority lakini je ina 3/4 ya support yote ya wananchi ili katiba iwe credible? Hao kumbuka hata Urais CCM ilipita kwa simple majority yaani just above 50% hiyo MAJORITY unayoongelea ni ipi mkuu.

2. Ule mfumo at least ulipromise kuguarantee maoni ya watu kutoka sekta mbalimbali ili vifungu vipitishwe kwa consensus ndio maana sio wote walikua wanasiasa.

3. Kuhusu kuteua watu 9 hata huku kulikua na tume ya warioba tofauti tu ni kwamba kwa TZ walitaka bunge maalum la makundi yote lipitie na kupitisha rasimu ambacho hakikutegemewa ni kufumua vifungu vyote vya warioba badala ya kurekebisha. Kwahiyo mfumo ni sawa ila mchakato ndio uliingiliwa kama ambavyo watu 9 wangeweza ingiliwa vilevile na kuharibu hyo Modal yako.

4. Suala la kisiasa lina mijadala ya aina gani kuliko sekta nyeti za madini ambayo nayo imeunda tume kibao humo ndani na sheria zingine 3 kufanyiwa marekebisho mapya kabisa yote ndani ya wiki moja. So issue hapa ni ukubwa mjadala au timeframe kufit mijadala?? Maana kama ni maoni na mjadala hata Issue ya madini waliita watu zaidi ya 100 na kuwahoji wote kupata maoni yao na mapendekezo all in two days. Sasa huo mjadala wa kina hauwezi fit muda kama wa huu?? Au ndio excuse unaleta mkuu.
 
kusema matokeo ya urais yahojiwe haimaanishi yahojiwe na mahakama zisizo huru. tunaanza na tume huru, kisha tunahamia kudai mahakama huru. bunge huru. vyombo huru vya habari. uhuru wa kutoa maoni. vyote tutadai.

siku nyingine tumia akili wakati wa kuweka uzi humu.
 
Poleni, hamjui mnataka nini na maelezo yangu hamyatilii maanani.
 
Back
Top Bottom