GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
- Thread starter
- #21
GHIBUU
Namini uemanzisha uzi then ukaja kujijibu kwa ID zako zingine, au umeanzisha mkaitana kuja kushambulia.
Sikufahamu
Sent using Jamii Forums mobile app

Wanachotaka watawala ndio unawapa?Nime kuwa nikiandika sana kuhusu uzuzu wa wapinzan( mnavyowaita)
Hawaelewi wanachotaka kama wanaelewa basi wametuona sisi ni wapumbavu si wajinga.
Tazama wanataka tai na sidiria wakijua wako uchi.
Ni sisi tuache upumbavu kufuata upuuzi wao.
Nafanyia kazi andiko moja litakalotupa majibu.
Wew na mwenyekit wako mnaeleweka kwa nani au kwa mapoyoyo ya lumumba.Hivi karibuni, mbunge wa mbeya ameibua hoja bungeni kutaka tume huru ya uchaguzi na matokeo ya urais yahojiwe.
Kwanza wacha niseme ukweli, almost ya watanzania hawaziamini mahakama za Tanzania, wamekuwa wakitoa matamko kwamba zinaingiliwa na viongozi wa juu.
Kuna watu walipata nafasi kupeleka kesi zao katika mahakama ya Africa ya mashariki kwa kuamini kupata haki kutokana na chombo kile kina uhuru zaidi.
Swali kwa upinzani
Mnataka tume huru ya uchaguzi na matokeo yahojiwe jee mmejipanga kuyapokea matokeo ya mahakama ambazo hamziamini?
In fact juzi tu hukumu ya mahakama mmelia sana. Kwa nini msidai katiba mpya tukaja na mfumo mzima wa uwendeshaji mamlaka wenye uhuru?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachotaka watawala ndio unawapa?
Hivi karibuni, mbunge wa mbeya ameibua hoja bungeni kutaka tume huru ya uchaguzi na matokeo ya urais yahojiwe.

Nimefuatilia upinzani wa Nchi hii,nimekuja kuona hawa watu hawana tofauti na jongoo.Hivi karibuni, mbunge wa mbeya ameibua hoja bungeni kutaka tume huru ya uchaguzi na matokeo ya urais yahojiwe.
Kwanza wacha niseme ukweli, almost ya watanzania hawaziamini mahakama za Tanzania, wamekuwa wakitoa matamko kwamba zinaingiliwa na viongozi wa juu.
Kuna watu walipata nafasi kupeleka kesi zao katika mahakama ya Africa ya mashariki kwa kuamini kupata haki kutokana na chombo kile kina uhuru zaidi.
Swali kwa upinzani
Mnataka tume huru ya uchaguzi na matokeo yahojiwe jee mmejipanga kuyapokea matokeo ya mahakama ambazo hamziamini?
In fact juzi tu hukumu ya mahakama mmelia sana. Kwa nini msidai katiba mpya tukaja na mfumo mzima wa uwendeshaji mamlaka wenye uhuru?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe acha kupotosha watu huwezi risk kupitisha katiba mbovu itakayoathiri vizazi vinne mbele kwa bahati nasibu ya kushinda urais ndio uje ubadili. Ukifeli hapo kati ina maana ndio umepoteza kila kitu!!Baadhi ya wapinzani ni mazuzu/manyumbu, saaizi wanataka tume huru ya uchaguzi sasa iyo tume unaipata kwa katiba ipi wakati katiba iliyopo inampa rais aliyepo nguvu za kimaamuzi katika mambo mengi?
Wakati wa mchakato wa katiba baadhi ya wapinzani walisusia ukiangalia walicho pinga ni aina ya serikali kwamba ziwe tatu, kwenye mapendekezo ya katiba ile ivyo wanavyo dai kwa sasa vingi vilikuwemo. sasa kwa nini wasinge iunga mkono katiba iliyopendekezwa alafu waje waifanyie tena mabadiliko ya aina za serikali watakazo wakatiuo pengine wangekua madarakani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia upinzani wa Nchi hii,nimekuja kuona hawa watu hawana tofauti na jongoo.
Jongoo hajui kama amekosea njia mpaka agonge ukuta ndio ageuze uelekeo.
Katiba ya Warioba ilikuwa fursa adhimu ambayo ndani yake kulikuwa na Katiba mpya pamoja na tume huru. Kwa UJONGOO wao walijua kila wanachotaka watakipata pale kwenye Katiba ile. Lilipokuja suala la Serikali Tatu wakang'ang'ania kiasi kwamba walipokosa serikali tatu wakaona hakuna maana tena ya Katiba Mpya pamoja na mazuri mengine yote ikiwemo tume huru... wakajitoa na kususia.
Kimkakati CCM nao wakajidai kusitisha mchakato wakijionyesha kutambua kujitoa kwa Upinzani.. kumbe CCM wanasema "Loooh alhamdulillah, hata hayo tuliyowakubalia yalikuwa yanatuumiza sana bora mchakato ufe turudi square one."
Kwanza hata hiyo Katiba Mpya itatengenezwaje wakati CCM wana Majority!? Kwa namna yeyote ile Katiba mpya lazima Walio wengi walinde maslahi yao (CCM)
Wenzetu Kenya na Zanzibar waliweza kwa sababu hakuna kundi lililokuwa na theluthi mbili kupitisha matakwa yake. Leo hii wapinzani ni robo tuu afu wanataka Katiba Mpya kwa mfumo wa bunge la katiba..!??
Very stupid
Sasa leo wanataka angalau Tume huru.. Jee, wameangalia kama muda unatosha kuchakata hiyo tume huru zikiwa zimebaki miezi minne!!??
1. Waandae Muswada
2. Ujadiliwe na Wadau
3. Usomwe na Ujadiliwe
4. Upitishwe& kusainiwa
5. Utungiwe kanuni
6. Iundwe tume
7. Watendaji wajiriwe
8. Tume ijipange na ianze na maboresho ya Daftari kabla ya kuanza kampeni Mwezi ya 9...
Kwa mtiririko huu naona sababu za kususia uchaguzi zinatafutwa, laa sivyo wanataka Bunge na Serikali iliyopo iongezewe muda.
Na wewe acha kupotosha watu huwezi risk kupitisha katiba mbovu itakayoathiri vizazi vinne mbele kwa bahati nasibu ya kushinda urais ndio uje ubadili. Ukifeli hapo kati ina maana ndio umepoteza kila kitu!!
Btw hyo tume huru ya rasimu ya warioba ni tofauti kabisa na ile iliotolewa maoni na walio wengi BMK. Yaani walifumua vipengele vyote so bado isingesaidia lolote kwa upinzani kushinda hata kama wangeipitisha.
Walitoka BMK sio sababu ya serikali tatu bali sababu ya CCM kuhodhi mjadala kwa kuleta mapendekezo yao yaliyofuta maoni yote ya wananchi kupitia rasimu ya warioba.
Hivi karibuni, mbunge wa mbeya ameibua hoja bungeni kutaka tume huru ya uchaguzi na matokeo ya urais yahojiwe.
Kwanza wacha niseme ukweli, almost ya watanzania hawaziamini mahakama za Tanzania, wamekuwa wakitoa matamko kwamba zinaingiliwa na viongozi wa juu.
Kuna watu walipata nafasi kupeleka kesi zao katika mahakama ya Africa ya mashariki kwa kuamini kupata haki kutokana na chombo kile kina uhuru zaidi.
Swali kwa upinzani
Mnataka tume huru ya uchaguzi na matokeo yahojiwe jee mmejipanga kuyapokea matokeo ya mahakama ambazo hamziamini?
In fact juzi tu hukumu ya mahakama mmelia sana. Kwa nini msidai katiba mpya tukaja na mfumo mzima wa uwendeshaji mamlaka wenye uhuru?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msifanye watanzania ni wajingaNimefuatilia upinzani wa Nchi hii,nimekuja kuona hawa watu hawana tofauti na jongoo.
Jongoo hajui kama amekosea njia mpaka agonge ukuta ndio ageuze uelekeo.
Katiba ya Warioba ilikuwa fursa adhimu ambayo ndani yake kulikuwa na Katiba mpya pamoja na tume huru. Kwa UJONGOO wao walijua kila wanachotaka watakipata pale kwenye Katiba ile. Lilipokuja suala la Serikali Tatu wakang'ang'ania kiasi kwamba walipokosa serikali tatu wakaona hakuna maana tena ya Katiba Mpya pamoja na mazuri mengine yote ikiwemo tume huru... wakajitoa na kususia.
Kimkakati CCM nao wakajidai kusitisha mchakato wakijionyesha kutambua kujitoa kwa Upinzani.. kumbe CCM wanasema "Loooh alhamdulillah, hata hayo tuliyowakubalia yalikuwa yanatuumiza sana bora mchakato ufe turudi square one."
Kwanza hata hiyo Katiba Mpya itatengenezwaje wakati CCM wana Majority!? Kwa namna yeyote ile Katiba mpya lazima Walio wengi walinde maslahi yao (CCM)
Wenzetu Kenya na Zanzibar waliweza kwa sababu hakuna kundi lililokuwa na theluthi mbili kupitisha matakwa yake. Leo hii wapinzani ni robo tuu afu wanataka Katiba Mpya kwa mfumo wa bunge la katiba..!??
Very stupid
Sasa leo wanataka angalau Tume huru.. Jee, wameangalia kama muda unatosha kuchakata hiyo tume huru zikiwa zimebaki miezi minne!!??
1. Waandae Muswada
2. Ujadiliwe na Wadau
3. Usomwe na Ujadiliwe
4. Upitishwe& kusainiwa
5. Utungiwe kanuni
6. Iundwe tume
7. Watendaji wajiriwe
8. Tume ijipange na ianze na maboresho ya Daftari kabla ya kuanza kampeni Mwezi ya 9...
Kwa mtiririko huu naona sababu za kususia uchaguzi zinatafutwa, laa sivyo wanataka Bunge na Serikali iliyopo iongezewe muda.
Ila mliweza kubadilisha sheria ya madini katikati ya majadiliano na barrick tena ndani ya wiki ikapitishwa na mkaitumia kwenye majadiliano!!Unataka tume huru miezi mitano kabla uchaguzi!!
Tanzania hatuna wapinzani tuna wasanii na wala ruzuku tu
Uungwana kwanza , mengine baadaye
Hii ndiyo shida ya wanasiasa kutaka kupatpatwa migongoni kama watoto.Uungwana kwanza , mengine baadaye
Nimeeleza vizuri, hakuna na hakukuwa na uwezekano wa kuundwa Katiba Nzuri kwa sababu CCM wana MAJORITY, kuanzia Bungeni mpaka kwa wananchi. CCM ni sehemu ya wananchi, wanaushawishi kwa wananchi. Hata unaposema wananchi ndio wataamua katiba, unatakiwa kujua kura ikipigwa Wananchi wengi wako upande wa CCM. Huo ndio UJONGOO wenu, kujifanya hamjui.
Rasimu ya Chenge ni matokeo ya mfumo uliokuwepo wa Bunge la katiba, kukubali mfumo ule ndio UJONGOO wenu huo. Jifunzeni wale watu 9 wa Ghana waliwezaje kutengeneza katiba bora. Nyinyi mlitaka platform muonekane mnavopiga kelele kumbe mwisho wa siku ni kura ndiyo inaamua sio hoja.
Suala la tume huru ni suala la kisiasa, haliwezi kupita bila kuwepo mjadala wa kina. Hakuna uwezekano wa mswaada kupita bila kushirikisha wadau na kujadiliwa kwa kina. Tume huru haiwezi kupitishwa kama sheria ya madini. Pole sana.