Hamu ya kufanya mapenzi kila mara

Hamu ya kufanya mapenzi kila mara

chichi pilato

Senior Member
Joined
May 26, 2019
Posts
132
Reaction score
97
Moja kwa moja kwenye mada.
Mm ni mwanaume mwenye umri wa 30 yrs (jina kapuni na mkoa kapuni)

Nimeoa 2019, yanayonikuta ni kwamba napenda sana kusex yani tukitoka tu job kabla hata hatujaoga Mzee nishadandiaa kwa wife then show ya kibabe kwa bao 2 then ndio ustaarabu meingine unafuata, hapo sichezi mbali jioni baada ya kulaaa hakuna tym ya kupoteza nikumwambia baby tukalale (Baada ya tamthilia ya HUBA kuisha)

Tukifika bed ni mwendo wa show tu.

Sasa hiii tabia wife hapendi sanaa ingawa mwanzoni alikuaa anafurahiaa but now ameonaa kasi ni kubwa mnoo.

Naomba ushauri wakuu nifanyeje ili nibalance mambo?

NB: kama huna la kunishauri kausha matusi sio dili
 
Yani hapo mama wa watu ni kulalamika tu, hadi anaomba ushauri kwa mashosti,,
Yaniii wajamenii mim mwenzenu,
mwenzenu ndoa yangu isha kua ghalika.. baba chichi anaweka mambo..
 
Ni kipindi cha mpito unapitia ila ukizidisha umri wako mara mbili, yeye atakuwa anakusumbua kuwa anahitaji na haitakuwa inasimama. Lakini ukipata akina under 25 unapiga sita kwa mpigo. Maisha haya ni changamoto
 
Fanya mazoezi ya mwili ukitoka kazini, mwili utachoka baada ya mazoezi na hamu ya kugegeda haitakuepo kwa kua mwili umechoka sasa baada ya chakula cha usiku utaishia kulala tu hadi asubuh
 
Ukisikia mabaharia wanakuwa na michepuko,chanzo huwa ni hicho. Tafuta mchepuko unaojielewa
 
Back
Top Bottom