HAMU YA KUFA KWELI

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
189
Hivi nini maana yake mtu anaenda dukani kununua sumu ya panya kwa ajili ya kujiua alafu anasubiria chengi ( chenchi)

AU
mtu anakunywa sumu ya panya kwa ajili ya kujiua ila ananywea maziwa sumu ya panya
AU
mtu anapanda juu ya mti kwa ajili ya kujibyonga ila anamkuta nyoka wakati wa kufunga kama anaanza kukimbia maana yake nini
 
Back
Top Bottom