Hamu isiyoisha

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,423
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali
 
Hormone zimekuzidi dear, KAMUONE DAKTARI KWA KWELI SIO NORMAL, KAZI MTAFANYA SAA NGAPI MTAKULA KIUNO HICHO?
mumeo anafaidooo
WENZIO DKK MBILI WAUME ZAO WASHATOLEWA NDUKI VIUNONI,WEWE MASAA MANNE JICHO BADO KAVU?JUST KIDDING
 
haaaaa jamani yawezekana mawazo yako yametawaliwa na ngono sana ndo maana any time unapenda ukatikiwe 2
 
hata tusipojifungia, wakati mwingine natamani tufanye hata tukiwa kwenye gari.
Siku moja kwenye machaka ya Coco Beach nilibanwa, tukapanddisha vioo na ku lock gari, hazikupita dakika kumi polisi wakalizunguka gari.[
Yaani hii hamu iko very costingQUOTE=Suprise;5240718]muache kujifungia chumbani masaa yote kuangaliana[/QUOTE]
 
Duh!hamu yako inaonekana ni abnormal,usipoangalia itakubadilisha jina muda si mrefu,inaonekana Israel hayupo mbali sana na wewe!!
 
Huo unaitwa Ugwadu!!!!!!!! Wanakuwa nao sana watu waliotoka gerezani au they didnt get any for a long time!
 
hata tusipojifungia, wakati mwingine natamani tufanye hata tukiwa kwenye gari.
Siku moja kwenye machaka ya coco beach nilibanwa, tukapanddisha vioo na ku lock gari, hazikupita dakika kumi polisi wakalizunguka gari.[
daaaah una hamu wewe
 
nilimtafutia dawa, nikamwambia kama yeye laptop kwake ni kila kitu, basi mi ntamaliza rafiki zake wote
duuuh sasa anaweza jamani ? Utamuua kijana wa watu jamani 4 hours anapumuaje?
 
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali
utamuuua mwenzako! haya! yaani nimecheka leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…