Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,136 Reaction score 55,605 Oct 26, 2024 #1 Nimejifungia zangu ndani natafuna karanga za maganda hapa, nikimaliza napata supu yangu ya sato mzima aliyewekewa viungo vya kila aina. Baada ya hapo, nitapiga 'wine' yangu taratiibu; sijajua kama baadaye nitashawishika kwenda viwanja. Mzazi mwenzangu mtarajia amenipa taarifa atakuja kunitembelea mida ya usiku, angalau anipe kampani ya hapa na pale. Kwa hiyo wananzengo nawapa taarifa, hamtoniona viwanja leo.
Nimejifungia zangu ndani natafuna karanga za maganda hapa, nikimaliza napata supu yangu ya sato mzima aliyewekewa viungo vya kila aina. Baada ya hapo, nitapiga 'wine' yangu taratiibu; sijajua kama baadaye nitashawishika kwenda viwanja. Mzazi mwenzangu mtarajia amenipa taarifa atakuja kunitembelea mida ya usiku, angalau anipe kampani ya hapa na pale. Kwa hiyo wananzengo nawapa taarifa, hamtoniona viwanja leo.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,032 Reaction score 111,624 Oct 26, 2024 #2 Leo geto umepiga usafi laana
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,136 Reaction score 55,605 Oct 26, 2024 Thread starter #3 Half american said: Leo geto umepiga usafi laana Click to expand... Leo nimeamua kutulia tu geto angalau kulinda kibunda changu
Half american said: Leo geto umepiga usafi laana Click to expand... Leo nimeamua kutulia tu geto angalau kulinda kibunda changu
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,032 Reaction score 111,624 Oct 26, 2024 #4 Equation x said: Leo nimeamua kutulia tu geto angalau kulinda kibunda changu Click to expand... Watakifuata huko huko
Equation x said: Leo nimeamua kutulia tu geto angalau kulinda kibunda changu Click to expand... Watakifuata huko huko
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,102 Reaction score 184,843 Oct 26, 2024 #5 Kila la kheri... Cc: Mahondaw
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,136 Reaction score 55,605 Oct 26, 2024 Thread starter #6 Half american said: Watakifuata huko huko Click to expand... Nakitunza mkuu, kwa ajili ya chrismas na mwaka mpya nisherehekee kama mfalme π
Half american said: Watakifuata huko huko Click to expand... Nakitunza mkuu, kwa ajili ya chrismas na mwaka mpya nisherehekee kama mfalme π
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,136 Reaction score 55,605 Oct 26, 2024 Thread starter #7 Smart911 said: Kila la kheri... Cc: Mahondaw Click to expand... Asante sana
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 4,037 Reaction score 3,034 Oct 26, 2024 #8 We jamaa uko chini ya ulinzi! unatishia kuua mtu
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,136 Reaction score 55,605 Oct 26, 2024 Thread starter #9 Doto Dotto said: We jamaa uko chini ya ulinzi! unatishia kuua mtu Click to expand... π π π