Hamorapa na P Majani ndani ya FNL, Majani amshauri Harmorapa kubadili jina anampa kiki Harmonize

Ndio maana namkubali diamond platinum hana nyodo tofauti na kibakuli

Kibakuli ana nyodo kisheenzi na alidhihirisha hilo kwa kumfungia vioo harmorapa kule airport mpaka harmorapa wa watu akampigia magoti kiba
Yaan nimependa sana alivyozubgumza diamond kuhusu harmorapa sasa kazi kwake kuchagua kipi chema kwake aliyehisi atamsaidia kamtolea nje kwa aibu aliyejenga nae bifu yeye wala hana noma
 
Back
Top Bottom