Hamorapa mbavu zangu eeh

Pesa anayo aende akajifunze lugha
 
Reactions: SDG
Sura yake tu inajieleza kuwa yeye ni strong woman.. V2.0
 
Zile mbio alizo zitimua Mbele ya [HASHTAG]#nape[/HASHTAG] nnauye ni mwendelezo wa mbio zake za umande
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
HarmoRapper kiboko ya mabishoo...

Jamaa ana maana yake...duuh lakini hizo kick hadi lini kwa maana kufahamika ameshafahamika
 
Waungwana muonesheni Simba Rasi alipo, akapate msasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…