Hamna kutoka mpaka umalize

Kama ni adhabu nitasema nimeshindwa

Kama ndio maisha najua nitaishi, maji ya kunywa itakuwa tatizo kubwa

Maana maji ni uhai
 
Huyu mdudu nilshawahi kumfuga na nimemla sana, sema ananimaliza sana kwenye kufanya tendo la ndoa na mwenzake!
 
Huyu SUNGURA anaweza akatoka apo lakini akifika nyumbani akaikuta moja tu iliyowekwa basi ataila ilimtadi aharibu tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…