Hamjamkomoa Mo Dewji kwa kukosa ubingwa, mmewakomoa na kuwaumiza sana Wanasimba msimu huu

Ni jambo lililokuwa wazi kuwa Simba hawakuwa na kikosi bora Cha kupambania ubingwa msimu huu timu ilikuwa inacheza tu ilimradi...... imagine unapambaniaje ubingwa na striker kama Mugalu au Boko.....??

Yanga waliteleza mara kadhaa lakini kikosi dhaifu Cha Simba kikashindwa kutumia faida hiyo.......


Ni dhahiri kikosi dhaifu Cha Simba hakikuweza kutoa ushindani wa ukweli kuelekea mbio za ubingwa dhidi ya Yanga........

Hongera mtani kwa kuumaliza ukame wa miaka minne......
Misumali nayo imechangia wachezaji wamefanywa kuwa majeruhi kimkakati, Boko ndio alikuwa mfungaji bora msimu ulipita.
 
Simba imevuliwa ubingwa, wale viongozi waliodhani wanamkomoa Mo Dewji wakae wakijua kuwa aliyekomoka sio Mo Dewji, ni sisi wanachama na mashabiki, tunajua viongozi wala hamshtuki kwa sababu haya yalitegemewa.

Msimu huu, mipango na mikakati iliuzwa mapema tu, tunashukuru sana, na yanga wataendelea kuwa mabingwa msimu ujao kwa sababu GSM anajielewa.
Wee kichwani mzima kweli!
 
Back
Top Bottom