Sikugundua hili nilizingatia tu wasafi kuona mzee wa mitonge na hando ndo nawasikia!...hata KP sijamsikia muda mrefu
Unakula kichwa kwenye radio na TV huku kwenye online je???Jamaa wanakula vichwa kimyakimya hakuna cha umaarufu wala nini!
Isije ikafikia huku members wote wakatakiwa kujisajiliUnakula kichwa kwenye radio na TV huku kwenye online je???
Hapa katikati radio ziliajiri hadi watu wasiojua kusoma na kuandika kwahiyo kujiendeleza siyo kazi rahisi inabidi uanze kufundishwa kuumba HerufiZembwela miaka nenda rudi alitakiwa ajiongeze akasome
Ina maana hata kununua cheti alishindwa 😄
Ova