Hamisi Kigwangalla: The Story!

Hamisi Kigwangalla: The Story!

Kiukweli kabisa naichukui CCM na SIASA zake.......na watu kama hawa ndio wanazidi kufanya nizidi kuichukia....... Eti naye anataka kuwa Rais,hiki chama kina watu vituko.
 
Mbona Sijaona alivyokolewa na Tindu Lisu kufukuzwa Chuo Muhimbili yeye na wenzie? au hilo sio tukio la kukumbukwa?
 
What is all this dust for? Who has asked for it? I don't need it, he should perhaps send it to ccm headquarters in Dodoma.
 
Did you even read it? Ama umiongoni mwa watanzania wavivu wa kusoma? Bora yake hata yeye ameandika hii piece, we unaweza hata barua tu?
 
Mimi ni mwandishi na sioni tatizo katika uandishi wake. Huyu ameandika the citizen, Mwananchi, Raia Mwema, aljazeera leo ni wa kukosolewa na form four waliopo hapa kweli?
 
nilikutana na dk kigwangalah pale kitongo tulipokua tunatoa semina kwenye chuo cha ufundi.nilichogundua kwake ni mtua anayetaka kupambana hata kama hakuna mapambano anastayle ya kujiweka juu na misimamo isioendana na elim yake ni checkbob asie na busara hata chembe
 
We are so obsessed with love and hate that we have sent our brains on leave....
The man is awesome and as a young politician, he needs our support. I will be the first one to support him
 
Back
Top Bottom