Hamisa Mobetto new Song "SAWA" ni Fire

Aaaah mxieew , wanazengo mmgoma kutoa kiki kwa wimbo wa hamisa , Ila aki Danga mnamchamba, akiimba pia mwasema hajui, mji mzito huu jaman looh , waja hamna jema


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwenzangu sauti kama chura mxieew , anavyojikamua sasa, huko chumban cjui inakuwaje ndio maana Ana kimbiwa, mxieew


Sent from my iPhone using JamiiForums
Unamgeuka tena warumi bwana
 
Duh , hamisa naona kaanza kuiva, mwanzo nilikua simuelewi kabisa , Ila hii single yake mpya ya SAWA mmmh nandy na rubby wajipange, bidada anakuja vizuri, wasim understimate kabisa , hii nyimbo konki sana , yani tamu , ya kimahaba na sauti humu kajitahidi kutulia kwa kweli

Ni bora tu ukaroge upendwe na mashabiki uachane mambo ya kuroga diamond , yan wewe ni next level , wanaosubir ushuke watasubir, hongera sana hamisa , kipaji nimekielewa aiseh , yan dah, endelea kupiga kazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa Ni Fire!!!???


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom