Kiukweli huyu mwanamama,kabla hajazalishwa tulikuwa tunawasiliana sana.Alikuwa anasisitiza kuwa nifike Daasalama tukaonane,nadhani hofu yangu tuu huenda mtoto angekuwa wakwangu.Nowday hata sms hajibu na nikimpigia mara nyingi anapokea kiviiiiiivu sana.