Tengua hilo neno mtoto sema mzazi....hivyo hiyooo hata kamwa awe mweusi kiasi gani kwa kipindi kile kwa sasa mtoto ka inprove......sanaa sooo ni ,***pesa tuuu""
Hata sasa hivi mkuu ni wa kawaida, ukimuona live na kwenye picha tofauti ila kana rangi nzuri.Kweli pesa sabuni ya mwili huyo binti kipindi yuko uswazi alikuwa wakawaida Sana
Mkuu umepitia nn.,??[emoji134] [emoji134]Hajui kukata mauno uyoo
Kweli pesa sabuni ya mwili huyo binti kipindi yuko uswazi alikuwa wakawaida Sana