Kama una sura kama MBUTA NANGA au LUPITA NYON'GO na una kipaji cha kuigiza basi ofisi ofisi za RJ company kwako uzione kama kituo cha polisi au ukionewa huruma utapewa scene za u house girl au uchawi kama sio scene mpito.Ndio sharti la RJ company ukitaka uwe starling make sure reception iwe inakubal camera 360 kama sio caro light na Dodo. Kama una sura kama MBUTA NANGA na shepu ya Pasi imekula kwako,
Imefika zamu ya model maarufu mwenye sura na umbo la kuvutia, Hamisa mobeto kuuza sura kwenye filamu ndani ya kampuni ya kisasa ya RJ company, movie hiyo mpya inayoenda kwa jina la V.I.P imewakutanisha warembo wenye mvuto jackline wolper pamoja na mobeto. I can't wait to see this hot chick in the movie.
Kaka tasnia ya Bongo muvi imejaa amateurs. Kama hao kina Ray wangepitia shule za Theater ingewasaidia Sana, wangefika mbali...Tatizo hawajui kama wao ni amateurs na hata wakielezwa hawataki kwa sababu tu, wao jamii ya Tanzania inawafahamu
Sinema zao zitafika kimataifa endapo watapata mafunzo rasmi, na ku-behave professionally
Hizi filamu za kibongo majanga matupu
Hivi hiyo movie ya kigodoro nayoisikia imesha toka
Hizi movie za kibongo huwa naziangalia kwenye mabasi tu wakati nikiwa safarini, ukweli hazinivutiiiiiiiiiii hatakidogo.
Cloud unamuonea , jamaa anajituma hatari, kaangalie SHAHADA au DR MAX , jamaa bonge la mbunifu labda kama kuna kingine
hahaha zinakera sanaaaaaaaa kama huyu cloud natamani nimtie makofiiii... nikiangalia movie zake
hahahaaaa... mkuu umenivunja mbavu!
sikumbi lini niliangalia maigizo yao....