Diamond bado yuko katika
ziara yake ya kitalii wa ndani katika mbuga za miili ya kina dada.
Kwa muda sasa nguli huyu asiye na mpinzani Afrika mashariki na anayeanza
kugusa anga za magharibi mwa Afrika amekua na uhusiano na binti mwenye
urembo wa ajabu ajulikanaye kama Hamisa aka Hamisa mabeto.
Habari za uhakika ni kwamba moyo wa Diamond umekufa umeoza kwa binti
Hamisa ila kwa ajili ya kick za kibiashara Diamond anapenda watanzania
wajue kuwa yuko na madam Wema Sepetu.
Habari kuwa Diamond haongi na ni bahili si za kweli kwani kijana
amegharamika sana kwa binti Hamisa Mabeto ikiwa ni pamoja na
kumpangishia binti huyo nyumba ya gharama.
Ujumbe wangu kwa Diamond,ukimwi upo na unaua.