Hamis77 Mtu wa Kitabu Anayefaa Kuenziwa

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,689
Jamaa amakuwa akitoa madini sana humu na kutupa ilimu akhera kwa weledi mkubwa sana bila hata kututoza. Nashauri awe anatoza nyuzi zake angalau basi hata Tsh 50,000 kwa uzi mmoja.

Najua atakuwa anapigwa vita na kuchukiwa na watu. Nikija Bongo nitamtafuta nimpatie mbinu za kijasusi nyingine za kuishi na watu wenye akili za kimajini majini. Maana mimi nmepata Israel mbinu za kimedani najua kuishi na watu wa aina hiyo.

Nawashauri hata wa dini ya kikafir kiarab wasisite kupata elimu toka kwa huyu mtu wa kitabu maana imeandikwa hivyo kwenye msahaulifu.
 
Haya sasa kimeanza kijichapa!... Usijisifie subiri walimwengu tukusifie 😊
 
Ndo Nani huyo namskia Tu ila nyuzi zake mbona sikutani nazo
 
Kobazi wamenuna,jamaa anaanika tupu zao hadharani.

Ndio mana kitabu cha msahaurifu kimeandikwa kiarabu na wanakomaa kifundishwe kwa kiarabu sababu kuu ni kuendelea kuwapotosha maamuma wengi zaidi...mana kimejaa uongo upotoshaji na uzushi.
 
Kwahio kobazi wamenuna team pampas mnashangweka..
 
Kobazi wamenuna,jamaa anaanika tupu zao hadharani.

Ndio mana kitabu cha msahaurifu kimeandikwa kiarabu na wanakomaa kifundishwe kwa kiarabu sababu kuu ni kuendelea kuwapotosha maamuma wengi zaidi...mana kimejaa uongo upotoshaji na uzushi.

Maamuma wengi wanakariri kiarabu na kukaririshwa maana. Hawajui maana halisi. Wakifunguliwa wanapaniki sana.
 
Mzee kalea Id moja unazunguka sana😂😂kwa urongo humu Jf ndipo mnapopumzikia...wanaume mnajificha ficha kumbe unauza kiboga.
 
Nampa hongera sana huwa tunaelimika sana kwa nyuzi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…