NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
Huyo ni kama kuchi wa eddo
huyu mzee na wanae ni pumba tupu. hapo anasafisha njia ya mwane kugombea ubunge 2015. fisadi na mtoto wa fisadi wana roho mbaya kama wauza sumu vile.
si kuchi ni mweyekiti wa CCM mkoa - Tatazo lingine hilo sijui kama kina nape wameliweka ndani ya mafaili yao.Huyo ni kama kuchi wa eddo
siasa za kujitengenezea ulaji kwa kizazi chake huyo
Mwanawe hana mpango na siasa za Bongo kama Riz1!! Yeye ni mfanyabiashara.
Usipende kusema UONGO hapa JF!
subiri utakuja kuniambia, au ndio wewe M....? 2015 sio mbali tunasema vitu tunavyovijua
mi mwenyew namkubali lowassa,yaan bureeeeeee,huyu mgeja humwambii chochote kuhusu el,el anamhesabu ni sehem ya familia yake,hata mama regina anatambua hilo
Lowasa ni jembe
Binafsi sioni kama EL anakosea kuchangia makanisa maana na yeye ni muumini wa makanisa hayoMwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga amemfagilia Waziri Mkuu Mstaafu aliyejiuzulu Mh Edward Lowassa.
Mgeja aliyasema hayo juzi huko Kahama wakati Mh Lowassa akiendesha kampeni ya uchagiaji wa shule ya Anglicana.
Mgeja amesema watu wanaomsema vibaya Lowassa kwa kuendesha harambee mbalimbali wanaweweseka na kivuli chake!!
Source: Mwananchi Leo