Kundi la Wapalestina la Hamas limetoa wito kwa mshirika wake Iran kusitisha mashambulizi dhidi ya nchi za Ghuba, huku likisisitiza kuwa Tehran ina haki ya kujilinda dhidi ya Israel na Marekani katika vita walivyoanzisha.
Katika taarifa iliyotolewa Jumamosi, Hamas iliwataka “ndugu zao nchini Iran” kuepuka kulenga nchi jirani, na pia kuhimiza mataifa ya eneo hilo kushirikiana kumaliza mgogoro unaoendelea katika Mashariki ya Kati.
Kundi hilo pia lilirejea vita kati yake na Israel vilivyoanza kufuatia shambulio la Oktoba 7, 2023, ambapo Israel ilifanya mashambulizi makubwa katika Ukanda wa Gaza uliokuwa umezingirwa, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 72,000. Katika kipindi hicho, baadhi ya nchi za Ghuba – hususan Qatar – zilihusika katika juhudi za upatanishi, diplomasia na utoaji wa misaada ya kibinadamu.
Tangu kuanza kwa vita kati ya Iran dhidi ya Marekani na Israel Februari 28, mataifa kadhaa ya Ghuba yameripoti kushambuliwa kwa makombora na ndege zisizo na rubani kutoka Iran.
Katika taarifa yake, Hamas ilisema ingawa inaunga mkono haki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kujibu mashambulizi hayo kwa njia zote halali kwa mujibu wa sheria na kanuni za kimataifa, bado inaiomba kuepuka kulenga nchi jirani. Pia ilisisitiza kuwa mataifa ya eneo hilo yanapaswa kushirikiana ili kusitisha mzozo huo na kulinda uhusiano wa kindugu kati yao.
===========
The Palestinian group Hamas has urged its ally Iran to end attacks on Gulf states, while affirming Tehran’s right to defend itself against Israel and the United States in the war they launched.
Hamas on Saturday called upon its “brothers in Iran” to not target neighbouring countries, and urged the region to end the ongoing conflict that has embroiled much of the Middle East. The group fought back against Israel’s genocidal war on Gaza following its October 7, 2023 attack, while Israel razed the besieged and bombarded enclave to the ground, killing more than 72,000, with Gulf nations – particularly Qatar – stepping in through mediation, diplomacy and aid.
Since the start of the Iran war by the US and Israel on February 28, several Gulf states in the region have reported Iranian missile and drone attacks.
“While affirming the right of the Islamic Republic of Iran to respond to this aggression by all available means in accordance with international norms and laws, the movement calls on the brothers in Iran to avoid targeting neighbouring countries,” Hamas said in a statement.
It added that countries of the region should “cooperate to halt this aggression and preserve the bonds of fraternity among them”.
Source: Al Jazeera