Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Yaani hawa jamaa wanavyo watoa kamasi Israel nomaa, ikitokezea siku wakapewa s-300 moja tuu na su 24 tatu, na baadi ya silaha tofauti zisizo fika tani 5, hiyo siku ndio mwisho wa Israel.
Yaani hawa jamaa wanavyo watoa kamasi Israel nomaa, ikitokezea siku wakapewa s-300 moja tuu na su 24 tatu, na baadi ya silaha tofauti zisizo fika tani 5, hiyo siku ndio mwisho wa Israel.
Walishaonywa na Mungu kupitia biblia kuwa wangewaacha hao jamaa wangewasumbua sanaYaani hawa jamaa wanavyo watoa kamasi Israel nomaa, ikitokezea siku wakapewa s-300 moja tuu na su 24 tatu, na baadi ya silaha tofauti zisizo fika tani 5, hiyo siku ndio mwisho wa Israel.
hahahaa watu bhana halafu IDF wakitembeza kichapo huko gaza watu ni kwanza kulalamika kuwa jamaa anatumia nguvu kubwa..wakitumia nguvu ndogo ooh jamaa wanatolewa kamasi na hamasMkuu Mimi huwa nakiwaza sana hicho kitu. Lkn umeenda mbali sana kwenye s-300..chukulia mfano raia wa kawaida wakipewa silaha ama mabomu ya (mkono) kurusha kama ya huku kwetu, sijui wale jamaa wangekua na hali gani sasaiv!
[emoji85] [emoji12]Yaani hawa jamaa wanavyo watoa kamasi Israel nomaa, ikitokezea siku wakapewa s-300 moja tuu na su 24 tatu, na baadi ya silaha tofauti zisizo fika tani 5, hiyo siku ndio mwisho wa Israel.
Mungu ndiye aliamuaπππKuna watu humu commet zao zinachekesha kweli kweli, eti kwa sababu ni taifa teule hakuna wakuwashinda...Mungu akiamua kitu na kweli kinakua hata awe na power kiasi gani,
Mungu ndiye aliamua
Taifa teule lingejaa mashoga nusu milion na wote vijana kati ya miaka 15-30?Israel taifa teule hayupo wa kuwashinda wale jamaaa hata kama ni usiku wa melala