Hamas wasema hawakujua kama kuna Tamasha la Muziki hadi walipoona watu wanakimbia ovyo baada ya mlipuko!

Hamas wamesema katika Mipango yao hawakujua kama kutakuwa na Tamasha la Muziki siku ya tukio

Ikumbukwe Waisrael 360 wanaosadikiwa walikuwa Kwenye Tamasha la Muziki waliuawa siku ya uvamizi wa Hamas nchini Israel

Hamas wanadai helicopter ya Israel ndio iliripua ukumbi huo na kusababisha madhara makubwa

Source Al jazeera news
Al Jazeera🤣🤣🤣🤣😂
 
Ingeua watu wake....hata hao mateka wangewalipua mibomu nao wafe pamoja Hamas.....sio IDF kujali raia wake popote...walipo
 
Israel imesema ktk hii vita wao wanayafuata maandiko (1 Samuel 15: 3 "Now go, attack the Amalekites and totally destroy[a] all that belongs to them. Do not spare them; put to death men and women, children and infants, cattle and sheep, camels and donkeys.’”
 
Hamas wamesema katika Mipango yao hawakujua kama kutakuwa na Tamasha la Muziki siku ya tukio.

Ikumbukwe Waisrael 360 wanaosadikiwa walikuwa Kwenye Tamasha la Muziki waliuawa siku ya uvamizi wa Hamas nchini Israel.

Hamas wanadai helicopter ya Israel ndio iliripua ukumbi huo na kusababisha madhara makubwa

Source: Al jazeera News

Manusura wa mwanzo kabisa waliokuwa kwenye tamasha hilo, walisimulia namna ambavyo watu waliokuwa na risasi walivyowafyatulia watu waliokuwa tamashani na hata wale waliojaribu kujiokoa kwa kukimbia na magari walisimamishwa na kuuawa...

Kwa wanaokumbuka kuona clips hizo ile mwanzo kabisa wanaweza wakajazia nyama...

Hamas wanatafuta tu kupindisha stori waonekane wanaonewa...
 
Back
Top Bottom