Hamas warusha makombora kulenga Tel Aviv

Sun Zu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2022
Posts
758
Reaction score
2,106
#gaza: Kundi la Wanamgambo wa Hamas limefyetua maroketi kuulenga mji wa Israel wa Tel Aviv ikiwa ni hatua yake ya kwanza ya kijeshi tangu Israel ilipoanza kuushambulia tena Ukanda wa Gaza baada ya kuvunjika kwa mkataba wa kusitisha vita.

Jeshi la Israel limesema limedungua roketi moja na mengine mawili yalianguka kwenye eneo lisilo na makaazi ya watu.
 
Sasa ufyetuaji wa makombora wa Hamas umewasaidia Nini wakati yamepanguliwa na mengine yameangukiwa pawazi
 
Bado inaonekana Israel haijafanikiwa kuharibu uwezo wa Hamas! Kama bado wana mahali pa kufyatulia makombora na bado IDF haijagundua basi shughuli bado ni pevu.
 
Back
Top Bottom