shortlisted1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 352
- 128
watu wote wa Gaza ni HamasHiyo ndio hali halisi ya kile kwamba wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao. Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
Waarabu wote WANa ndevu hawana sare za kijeshi utajuaje huyu ni Hamas mwanajeshi na vile vile wanajichanganya na raia ata kuua hao wanajeshi Wa Israel ni kwakuwa kutambua raia na wapiganaji ndio inakuwa inshu pili utashangaa watanzania wanaandamanA kwa ajili ya kuwatetea waarabu wakati waafrica wenzao wanauana sijasikia wakiandamana na kulalamika nenda drc,Rwanda ,Nigeria eti kisa tu........,,,,,... Tunaandamana ni ubaguzi Wa kutojitambua!
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha. Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini, makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao. Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
View attachment 174565
Hao ndio makomandoo wa Hamas......wamebaki na chupi tu....! Usisifie upumbavu..........ugomvi uanze ww ukitandikwa unalalamika....! Hayo maroketi ya Hamas yangekuwa na shabaha ni madhara kiasi gani yangesababisha kwa raia? Pili, kitendo cha Hamas kutumia nyumba za kuishi, mashule na misikiti kurusha maroketi walifikiri itakuwa kinga ya retaliation....!
Asante kwa maelezo marefu. Labda utusaidie kutueleza kati ya hao raia zaidi ya 1000 waliouawa na Israel, hakuna hata askari mmoja wa Hamas? Basi askari wa Hamas ni hodari kweli kweli; yaani hawauawi?!Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha. Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini, makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao. Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
Asante kwa maelezo marefu. Labda utusaidie kutueleza kati ya hao raia zaidi ya 1000 waliouawa na Israel, hakuna hata askari mmoja wa Hamas? Basi askari wa Hamas ni hodari kweli kweli; yaani hawauawi?!
hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.
Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili hamas wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.
Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa hamas na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.
Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.
Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
Hapo kwenye 'shelter' edit haraka uweke 'shield' kabla ya wenye lugha hawajafika kukushambulia na kuvuruga maudhui, otherwise inabidi ujitetee kweli kuwa ulidhamiria kuandika 'shelter' na si vinginevyo!Hamas wanatumia shelter ya civilians kushambulia na kujificha, kwa hiyo kinachofanyika ni popote pale kombola la Hamas litakapotokea Islael nayo inatandika hapo hapo - Sasa iwe msikitini, Sokoni au hata Nyumbani wa Sheikh inakuwa ni Zahma.
Hii mbinu ya kutumia civilians shelter usipokuwa makini unaweza kushindwa vita.