Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Wanaosapot israel wote makafiri tu hawawezi kuifuta palestine hata aje baba yao USA
Wamekufa viongozi wa hammas na Islamic jihad 33 na magaidi 150 wa hammas wamekufa miundo mbinu yao ya chini ya ardhi km 100 imeharibiwaKichapo cha kuporomosha magorofa au
Mbona waislamu mnaanza uchokozi wa kuirushia israel maroketi kwa mbwembwe kujimwambafai mnayaweza mkizidiwa mnajicha kwenye na chaka LA dini na Allah nakupaza sauti mnaonewa mara Free PalestineWanaosapot israel wote makafiri tu hawawezi kuifuta palestine hata aje baba yao USA
Waislamu wapi wacha kugeneralise na ujinga unaofundishwa kanisani kwamba israel ni wakristo uliona wapi waislamu wakapigania ujinga kama huo hapa tunaongelea wapalestine among of them kuna wakristo na dini nyingineMbona waislamu mnaanza uchokozi wa kuirushia israel maroketi kwa mbwembwe kujimwambafai mnayaweza mkizidiwa mnajicha kwenye na chaka LA dini na Allah nakupaza sauti mnaonewa mara Free Palestine
Hio kawaida ipo tokea 1947, ww unaona leo hayo mambo? Wamechukuliwa Ardhi yao ww unasema kuhusu kufa na magorofa, kufa wameshauliwa zaidi ya haoWamekufa viongozi wa hammas na Islamic jihad 33 na magaidi 150 wa hammas wamekufa miundo mbinu yao ya chini ya ardhi km 100 imeharibiwa
Ww mgonjwa wa akili kichwa chako kimejaa taka na mafunza yakitimoto, hufaham ata mgogoro wa Palestinian umeanzaje, sasa pimbi kama ww unafkiri nibishane na ww kwa upupu unaoandika humuMbona waislamu mnaanza uchokozi wa kuirushia israel maroketi kwa mbwembwe kujimwambafai mnayaweza mkizidiwa mnajicha kwenye na chaka LA dini na Allah nakupaza sauti mnaonewa mara Free Palestine
Anza ombea kheri Waafrika wenzako falah mmoja wewe. Congo, Nigeria na TZ hapa watu wanasota mnashindwa ombea kheri ila busy na Waarabu...Mbona amerika ameshamsaidia sana + silaha zake nzito alizonazo na mandege + Helicopters lakini mpaka wa leo ameshindwa vita! Na Hawa wote wanaomuunga mkono israel wataingianao jahannam.
Vipi ulikuwa unawasifia Iran walijifanya kuingiza vidrone vyao Israel wakavifekelea mbali na Lebanon wamerusha viroketi vyao israel ikavijibu kwa mashambulizi vizuriWw mgonjwa wa akili kichwa chako kimejaa taka na mafunza yakitimoto, hufaham ata mgogoro wa Palestinian umeanzaje, sasa pimbi kama ww unafkiri nibishane na ww kwa upupu unaoandika humu
Anza ombea kheri Waafrika wenzako falah mmoja wewe. Congo, Nigeria na TZ hapa watu wanasota mnashindwa ombea kheri ila busy na Waarabu...
Hivi unaweza kuniletea Historia ya taifa lililowahi kuitwa Palestine lilianza mwaka gani na mfalme wao alikuwa nani na lugha yao iliitwaje na watu wake waliitwaje kabla ya kuporwa ardhi zao na Israel walishawahi kuwa na taifa lililoitwa PalestineHio kawaida ipo tokea 1947, ww unaona leo hayo mambo? Wamechukuliwa Ardhi yao ww unasema kuhusu kufa na magorofa, kufa wameshauliwa zaidi ya hao
Hivi Palestine imetajwa hata kwenye Quran tukufu kulishawahi kuwa na Palestine ila israel imetajwa nashindwa kuelewa Israel anaporaje ardhi yake mwenyeweHio kawaida ipo tokea 1947, ww unaona leo hayo mambo? Wamechukuliwa Ardhi yao ww unasema kuhusu kufa na magorofa, kufa wameshauliwa zaidi ya hao
Nani alikuambia wanao kufa Gaza ni Waislam tu?Chuki tu zimewajaa kwa waislamu /waarabu. Waombee na wewe basi
Nani alikuambia wanao kufa Gaza ni Waislam tu?
Na nimezungumzia kuwaombea Nigeria, vipi hapa waislam hawafi mpaka niwachukie Waislam [emoji848]
Halafu kwanini mtu asiyeshabikia yanayofanywa hapo Gaza anaonekana ana chuki na Uislam?
Katika historia ya mashariki ya kati Hakuna Taifa la wapalestina.Hawa ni wanaume halisi ambao kwa nguvu na Imani yao wameamua kupambana kuirudisha heshima ya taifa la Palestine ambayo imepotea baada ya kuingia kwa wakoloni wasaidiwao na Wamagharibi.
Taifa la Palestine ambalo lilikuwepo kwa miaka maelfu leo limegawanywa kwa wakoloni wa kizunguu wajiitao Wayahudi. Ajabu.!
Wapalestin wanakufa lakini bila kufa hakuna ukombozi.
Wakati wa mapambano ya ukombozi wa Afrika kule Msumbiji, Angola walikufa watu, damu ikachuruzika kila mahali, lakini Leo wako huru.
Piganeni.
Piganeni Wapalestina.
Hizi diniUnatafuta ligi naona ๐ wapo pia wakristo wanakufa huko palestina, but! Wengi wao ni waislamu na ni ndugu zetu pia katika imani ุงูู ุณูู ุฃุฎู ุงูู ุณูู . Sasa unataka tusiwaombee na badala yake tuwaombee wa congo n.k!!! Hebu nijibu kwanza
Vipi ulikuwa unawasifia Iran walijifanya kuingiza vidrone vyao Israel wakavifekelea mbali na Lebanon wamerusha viroketi vyao israel ikavijibu kwa mashambulizi vizuri
Wakati wewe unawadanganya wenzako upo mwembe Chai unakunywa supu ya pweza au newala kwenye mshamba ya mpunga vita vya Sasa hivi sio kama vya Zaman watanganye wakufa wote ni bora watulie wajiulize wamekosea wapHawa ni wanaume halisi ambao kwa nguvu na Imani yao wameamua kupambana kuirudisha heshima ya taifa la Palestine ambayo imepotea baada ya kuingia kwa wakoloni wasaidiwao na Wamagharibi.
Taifa la Palestine ambalo lilikuwepo kwa miaka maelfu leo limegawanywa kwa wakoloni wa kizunguu wajiitao Wayahudi. Ajabu.!
Wapalestin wanakufa lakini bila kufa hakuna ukombozi.
Wakati wa mapambano ya ukombozi wa Afrika kule Msumbiji, Angola walikufa watu, damu ikachuruzika kila mahali, lakini Leo wako huru.
Piganeni.
Piganeni Wapalestina.
Sijakukataza kuwaombea mzee... nimeongeza list tu hapo, Waombeeni na wale wa Nigeria na Congo hilo tu. Maana wema huanzia nyumbani.Unatafuta ligi naona [emoji846] wapo pia wakristo wanakufa huko palestina, but! Wengi wao ni waislamu na ni ndugu zetu pia katika imani ุงูู ุณูู ุฃุฎู ุงูู ุณูู . Sasa unataka tusiwaombee na badala yake tuwaombee wa congo n.k!!! Hebu nijibu kwanza
Mafilisti ya Buza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu hawa ndio kutwa kucha kusifiwa na mafilisti ya Buza eti wataipiga Israel! Ha ha ha!