Hamas waitembelea Urusi Leo

Hamas waitembelea Urusi Leo

Israel na western....wata react vipi Baada ya Hamas kwenda Russia
Wataishia kuwa watazamaji TU,kosa kubwa alofanya Israel la kupeleka siraha kimya kimya Uikrane, Urusi amefurahia?

Western wakiingia,vikundi vyote na Iran wataingia na kupelekea Israel kufutwa kwenye ramani ya Dunia.

Je wapo tayari Hilo litokee?
 
Hapo ndo kipengele
 
Wapo mkuu .....mbna unaji dharau
kama huez guswa na maswaibu ya watu wa msumbiji na Drc majiran zako , kutwa unazungumzia mambo ya Ukraine na Gaza , ww ni mzalendo kwel? je kuna black american yeyote amewahi anzisha hata kipind kinachogusa maisha ya maswaibu ya waafrika wa chini ya jangwa la sahara ?
 
Wataishia kuwa watazamaji TU,kosa kubwa alofanya Israel la kupeleka siraha kimya kimya Uikrane, Urusi amefurahia?

Western wakiingia,vikundi vyote na Iran wataingia na kupelekea Israel kufutwa kwenye ramani ya Dunia.

Je wapo tayari Hilo litokee?
Israeli siyo Somalia, ana nuclear safi kabisa, hata waarabu wakiungana wote, ndani ya dk chache anachoma karibia wote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hatari sana
Hakuna hatari acha wapigane tunataka mshindi. Hamas walisema walijiandaa kwa vita ya muda mrefu. Nilifurahi sana kusikia hivyo, na Netanyau kasema wale wanaotaka cease fire watafute cha kufanya, mara hii wanataka Palestine ikaliwe na yeyote lakini siyo Hamas.
 
Back
Top Bottom