Hamas Caught Beating Arabs Who Try To Evacuate After Israeli Warning

Status
Not open for further replies.
Very sad. Huwasikii hapa wakilalamika.

Nasikia mkuu, sasa tatizo ni hao Hamas kuwazuia watu wanaotaka kukimbia. Vita waianzishe wenyewe halafu wanazuia watu ili iwe ngao yao, hopeless kabisa.
 
Only people with brains understands and distinguish what is fake , rubbish and not true!
Your Zionists unwanted by Europe got killed in millions by their brothers and decided they should be sent to Middle East and kept there at any cost. May be one day they will be sent close to your village if you love so much so they can take you to heaven. Just invite them.
 
Do not be bias, read books.
 
Nasikia mkuu, sasa tatizo ni hao Hamas kuwazuia watu wanaotaka kukimbia. Vita waianzishe wenyewe halafu wanazuia watu ili iwe ngao yao, hopeless kabisa.

Hamas ndio wauwaji wa hao Mapalestina. Wao kama ni wanaume kweli, waende mstari wa Mbele na kupigana na Taifa Teule. HAMAS ARE COWARDS
 
Taifa lako teule big cowards wanaogopa kukutana na watu wenye migobore tu hali wana aina ya kila sophiscated weapons wanaamua kuripua majumba kwa mbali waue kila binadamu . One day they will pay a heavy price kama walivyolipa zamani. Wamarekani bado wamelala iko siku wataamja na watawageukia
By the way Wakaribishe karibu na wewe ili wakurushe mbinguni maana waumini kama wewe ndio waliowaua kwa mamilioni sasa basi bora wakaribishe kabla hawajaamka wamarekani wakawageukia
 
Ni nani wanao lia na kusaga meno huki wakitandikwa bila ya huruma na Allah wako kashindwa kuwasaidia?
 
Kufuru utakavyo wako waliokufuru kama wewe kabla. Hilo taifa lako tuele Hitler aliua million sita, waliuawa Spania, ufaransa urusi na kadhalika. Ilikuwaje?
Nahisi huna maana maana unapoyoka ovyo huna elimu
 
Allah wenu yupo au hayupo? Usijaribu kukimbia mada hapa. Nyie mnadai kuwa Allah wenu ni akbar, kwanini anashindwa kumisaidieni kule GAZA?
 
Kwa ufinyu wako wa akili unadhania Wapelestina wote ni Waislam tu. Wapo Waislam na wakiristo. Hao wateule hawauamini ukiristo wako na Yesu kwao ni mwanaharamu. Pia wanaamini watu wote wengine si binadamu kamili na pesa zote duniani ni zao na wewe hauwezi kuingia dini yao ila kama mama yako ni myahudi. Sasa basi atakaye kurusha mbinguni bora mwite awr jirani yako maana huko mtu mwenye ngozi kama yako hasogei na wote wanarudishwa kuptitia uganda. Wake wafarasha wa kiothiopia wayahudI wenzao wamepigwa pills wasizaane.
Fanya haraka kama unataka kasumba yako ya kupaaishwa.
Nahisi kaa kwanza usome vitabu upate elimu na ningejua ningekupa msahafu ili usome maana nakuonea huruma kesho usiwe kuni ya jahanamu ukatulaumu sisi hatukukupa ukweli.
 
So when the 6 million Jews were killed by Hitler; did you ask yourself why didn't their God protected them the same way you are questioning the Palestinians? When Almost a million Tutsis got massacred in Rwandan genocide...why they weren't protected by whoever God they were believing on? If you are Christian - probably you would know Bethlehem is in Palestine and is under Israel siege; for your information there is a large Palestinian Christians population in the occupied territories including Gaza; which God is supposed to protect them?
 
Kwa ufinyu wako wa akili unadhania Wapelestina wote ni Waislam tu. Wapo Waislam na wakiristo. Hao wateule hawauamini ukiristo wako na Yesu kwao ni mwanaharamu. Pia wanaamini watu wote wengine si binadamu kamili na pesa zote duniani ni zao na wewe hauwezi kuingia dini yao ila kama mama yako ni myahudi. Sasa basi atakaye kurusha mbinguni bora mwite awr jirani yako maana huko mtu mwenye ngozi kama yako hasogei na wote wanarudishwa kuptitia uganda. Wake wafarasha wa kiothiopia wayahudI wenzao wamepigwa pills wasizaane.
Fanya haraka kama unataka kasumba yako ya kupaaishwa.
Nahisi kaa kwanza usome vitabu upate elimu na ningejua ningekupa msahafu ili usome maana nakuonea huruma kesho usiwe kuni ya jahanamu ukatulaumu sisi hatukukupa ukweli.

Well said....Hawa jamaa wengi wao hawana elimu ya dunia au akhera. Wapo wapo tu
 
Kwa ufinyu wako wa akili unadhania Wapelestina wote ni Waislam tu. Wapo Waislam na wakiristo. Hao wateule hawauamini ukiristo wako na Yesu kwao ni mwanaharamu. Pia wanaamini watu wote wengine si binadamu kamili na pesa zote duniani ni zao na wewe hauwezi kuingia dini yao ila kama mama yako ni myahudi. Sasa basi atakaye kurusha mbinguni bora mwite awr jirani yako maana huko mtu mwenye ngozi kama yako hasogei na wote wanarudishwa kuptitia uganda. Wake wafarasha wa kiothiopia wayahudI wenzao wamepigwa pills wasizaane.
Fanya haraka kama unataka kasumba yako ya kupaaishwa.
Nahisi kaa kwanza usome vitabu upate elimu na ningejua ningekupa msahafu ili usome maana nakuonea huruma kesho usiwe kuni ya jahanamu ukatulaumu sisi hatukukupa ukweli.
99.999999999999999% ni Makafir wa Kiislamu.
 
1794811_821348067888065_8530686755196198598_n.jpg
 
UPDATE: The IDF investigation of the bombing of UNRWA school that killed 17, concludes Hamas was indeed responsible:
"Since Thursday, July 24, 2014, the IDF has conducted a comprehensive inquiry regarding the incident in which the UNRWA school was fired upon. The inquiry concluded that during the intense fighting between IDF forces and Hamas militants, the militants operated adjacent to the UNRWA school. The militants fired anti-tank missiles at IDF soldiers, who then responded by firing several mortars in their direction.
The inquiry and the documented footage...concluded that a single errant mortar landed in the courtyard of the UNRWA school, when it was completely empty.
The IDF stresses it does not operate or target international organizations in the Gaza Strip..."

994470_10152264829992689_4789978506294471991_n.jpg
 
Now I know your problem of disease.Please be informed and be educated that Your masters of liars do fake everything and sadly because your brain fails you you believe in every rubbish which zionists posts for you. Wake up and stop visiting fake sites. Be a wise man!
 
Wapalestina na Wayahudi utadhani Real Madrid na Barca.
Watu wako bongo wanabishaana kama vile inawahuusu.
Hapa tupeni historia yao tu ilikuwaje wakafika pale coz wote hawa walitokea Egypt.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom