Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,629
- 14,023
Missiles zinashuka Ashkelon na Tela Aviv kama mvua.
View: https://youtu.be/4QeJbAIIhxw?si=iuwG3z7yM8Y2Ewjz
View: https://youtu.be/4QeJbAIIhxw?si=iuwG3z7yM8Y2Ewjz
Hio habari inaweza kuwa fake inaweza kuwa kweli itabidi next time niangalie Al ajazeera kuhakikisha kama ni kweli au fake. Nimetaka kuifuta nikashindwa.Mimi nafikiri kitu mnachokosa nyie vijnana wa itikadi kali ni utimamu wa fikra katika dunia ya kweli, mnaishi katika dunia iliopikwa na uongo uongo kwa jina la mungu wenu wa kutengeneza .
Endeleeni kujifariji utahira
Bora umekua mkweli, una moyo mzuri sana kijana hujataka kupotosha watuHio habari inaweza kuwa fake inaweza kuwa kweli itabidi next time niangalie Al ajazeera kuhakikisha kama ni kweli au fake. Nimetaka kuifuta nikashindwa.
Una busara sana aseeh, kupata taarifa ya ukweli ni ngumu sana na hizi propaganda zilivyonyingiHio habari inaweza kuwa fake inaweza kuwa kweli itabidi next time niangalie Al ajazeera kuhakikisha kama ni kweli au fake. Nimetaka kuifuta nikashindwa.
huyo mungu anayekunya ,kujamba na kutawazishwa mavi ndiye mungu gani ??Mimi nafikiri kitu mnachokosa nyie vijnana wa itikadi kali ni utimamu wa fikra katika dunia ya kweli, mnaishi katika dunia iliopikwa na uongo uongo kwa jina la mungu wenu wa kutengeneza .
Endeleeni kujifariji utahira
Missiles zinashuka Ashkelon na Tela Aviv kama mvua.
View: https://youtu.be/4QeJbAIIhxw?si=iuwG3z7yM8Y2Ewjz
🤣 🤣Hivi unafatilia habari kweli?
Mimi ni Mzee sio kijanaBora umekua mkweli, una moyo mzuri sana kijana hujataka kupotosha watu
Punguza ukali wa maneno 🙏🏽 muelimishe kwa busara.huyo mungu anayekunya ,kujamba na kutawazishwa mavi ndiye mungu gani ??
Qur’an ilishamaliza yote, Mayahudi muda wao utafika. Mwisho Palestina watashinda vita na kuwa nchi huru katika ardhi yao yote.🤣 🤣
Muulize kama ana taarifa Kuwa Waarabu na Waislamu zaidi ya nchi 51 wamekaa kumjadili Israel ila hawajatoka na uamuzi
Punguza ukali wa maneno 🙏🏽 muelimishe kwa busara.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Qur’an ilishamaliza yote, Mayahudi muda wao utafika. Mwisho Palestina watashinda vita na kuwa nchi huru katika ardhi yao yote.