Amewasili na Kundi la waandishi kutoka tzbara.
Meli 5 ziliwasili zikitokea Tanzania bara kupitia Unguja.
Hoteli za Chake Chake zimejaa wageni waliopanga kuhudhuria mkutano huo.
Jana watu wa mikoa tofauti ya TZ bara walikuwa wakitembea tembea madukani kufanya Shopping ya viitu vya majumbani(electronic)
ndege 3 zikitokea dar zitawasili saa 4:30 kuelekea uwanjani moja kwa moja
amelipia mabilion ya shilingi kwa Redio ya Zenj Ifm ili kurusha matangazo yake moja kwa moja kutokea uwanja wa mapambano
Picha mkuu..,tuwekee picha......:behindsofa:..!Amewasili na Kundi la waandishi kutoka tzbara.
Meli 5 ziliwasili zikitokea Tanzania bara kupitia Unguja.
Hoteli za Chake Chake zimejaa wageni waliopanga kuhudhuria mkutano huo.
Jana watu wa mikoa tofauti ya TZ bara walikuwa wakitembea tembea madukani kufanya Shopping ya viitu vya majumbani(electronic)
ndege 3 zikitokea dar zitawasili saa 4:30 kuelekea uwanjani moja kwa moja
amelipia mabilion ya shilingi kwa Redio ya Zenj Ifm ili kurusha matangazo yake moja kwa moja kutokea uwanja wa mapambano
duhu, hamad rashid ni mpambanaji
Acha usanii wewe Malaria Sugu. Na kwa ID hii ukiendeleza udini wako utakula ban muda si mrefu
kaka, CUF ipo bado kweli? Kama ipo then ni kinadharia ili watu wapate ruzuku.hii habari kma ya ukweli matokeo yake yataimaliza CUF au HR mwenyewe
Amewasili na Kundi la waandishi kutoka tzbara.
Meli 5 ziliwasili zikitokea Tanzania bara kupitia Unguja.
Hoteli za Chake Chake zimejaa wageni waliopanga kuhudhuria mkutano huo.
Jana watu wa mikoa tofauti ya TZ bara walikuwa wakitembea tembea madukani kufanya Shopping ya viitu vya majumbani(electronic)
ndege 3 zikitokea dar zitawasili saa 4:30 kuelekea uwanjani moja kwa moja
amelipia mabilion ya shilingi kwa Redio ya Zenj Ifm ili kurusha matangazo yake moja kwa moja kutokea uwanja wa mapambano
Hiyo Redio inayolipisha mabilioni nataka nimjue mmiliki wake...........
amelipia mabilion ya shilingi kwa Redio ya Zenj Ifm ili kurusha matangazo yake moja kwa moja kutokea uwanja wa mapambano
mambo ya kipemba hayo mi nawaachia wenyewe. Wakimaliza kubaguana hawatakuwa na nhuvu ya kutubagua