Hamad rRashid aiteka Wawi

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,571
Amewasili na Kundi la waandishi kutoka tzbara.
Meli 5 ziliwasili zikitokea Tanzania bara kupitia Unguja.
Hoteli za Chake Chake zimejaa wageni waliopanga kuhudhuria mkutano huo.
Jana watu wa mikoa tofauti ya TZ bara walikuwa wakitembea tembea madukani kufanya Shopping ya viitu vya majumbani(electronic)
ndege 3 zikitokea dar zitawasili saa 4:30 kuelekea uwanjani moja kwa moja
amelipia mabilion ya shilingi kwa Redio ya Zenj Ifm ili kurusha matangazo yake moja kwa moja kutokea uwanja wa mapambano
 
Acha uongo wewe.Lazima CUF aka CCM b ife mwaka huu
 
duhu, hamad rashid ni mpambanaji
 
Big up HR kwa mkutano umewaonyesha wale waliokubeza kuwa huwezi kwenda wala kufaanya mkutano WAWI.
 
Habari imekaa kinafikinafiki.Vijana wa Seif Sharif mnakazi
 
Big up HR kwa mkutano umewaonyesha wale waliokubeza kuwa huwezi kwenda wala kufaanya mkutano WAWI.

hr naamini ni mpambanaji kweli kweli. lkn kwa style hii, anaweza kuumbuka
 
kila la kheri mpiganaji hamad rashid,penye ukweli uongo unatabia ya kukaa pembeni.........
 
huu mpambano unaonekana bado ni mbichi kabisa na propaganda machine za pande zote mbili ziko full throttle... juzujuzi tumeonyeshwa wanachama wa CUF wanandamana huko pemba kuunga mkono maamuzi ya baraza kuu dhidi ya hamad.... saa hizi tunaambiwa hamad nae anaenda jimboni kujibu mashambulizi....lets wait and see
 
HR ni moja wabunge shupavu wa JMTZ
 
hii habari kma ya ukweli matokeo yake yataimaliza CUF au HR mwenyewe
 
Seif Sharif leo lazima kuumbuka tu
 
kakie hamad watka adhirika? hivi unadhani ubunge wa mahakama utakusaidia?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…