Hamad Rashid: Wabunge wa upinzani wamekosa nidhamu na umoja

Spika Sitta alikuwa mzuri na busara pia;; angalia alivyomjibu vizuri Lissu kwenye bajeti ya Nchimbi mpaka Lissu akakubali ushauri wa Sitta...haya yanayotokea sasa hivi Makinda naye anachangia, huyu mama mtupu kabisa....

Kajibiwa vzr, kvp? Lisu kasha tupwa,ni ugeni wa bunge,kwa akili yako ataruhusiwa kuleta hoja binafsi? nafasi hiyo iko wapi!!kasha lishwa nywele.
 
Mkuu Ritz
Umeniacha hoi; Lema mtu wa deals ni hodari sana kupiga hesabu za kuchakachua mapato ya M4c hapo wizara ya fedha kwake ni kizunguzungu hana anachoelewa kuhusu bajeti ya taifa na huyu rapper huwa anaimba kitu gani? Nifanyie utaratibu cd yake sijawahi kusikia; kuna vituko vingi sana kutoka Chadema nina uhakika wananchi leo hii wanahoji sababu zilizowafanya kuwapigia kura.
Chama
Gongo la mboto DSM

Pole pole Mkuu, shusha jazba!
 
"Kinana" weka mbali na tembo....ccm ni wazee wakung'oa wananchi kucha na meno.ndugu wananchi tuiogope ccm ni janga la taifa.ccm no majangili ya tembo yakiongozwa na muhamiaji haramu mwenye uraia fake kinana
Inconsistence in thinking.Please identify and combat unhealthy thinking. You seem to be cprrupt in mind and body!
 
Ukisikia upimbi ndio huu; swali ujiulize mwenyewe na kujipa majibu mwenyewe; hivi kwa akili yako ADC ilishiriki lini uchaguzi hapa Tanzania?

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu ID yangu inaniepusha sana na matusi. Anyway hongera kwa hilo nawe naona umejibu hoja ya msingi sana tuu.
 
mkuu ritz
umeniacha hoi; lema mtu wa deals ni hodari sana kupiga hesabu za kuchakachua mapato ya m4c hapo wizara ya fedha kwake ni kizunguzungu hana anachoelewa kuhusu bajeti ya taifa na huyu rapper huwa anaimba kitu gani? Nifanyie utaratibu cd yake sijawahi kusikia; kuna vituko vingi sana kutoka chadema nina uhakika wananchi leo hii wanahoji sababu zilizowafanya kuwapigia kura.
Chama
gongo la mboto dsm

naona leo nyumba imevamiwa na wezi: Molemo, ritzi, ze marcopolo ndo hayupo labda hana credit za kuingia jf, jinamizi, hata m23 bbado amekaa lumumba akisubiri chochote akaweke vocha
 
Mbunge wa mahakama, hana jipya! Tatizo la bungeni ni spika makinda na si vingine, maccm yametuwekea kale kabibi pale ili kulinda maslahi yao ya kifisadi! Tunashukuru mungu tumepewa wabunge makini kama sakaya, lissu, mnyika, mdee, ester bulaya, na hata zitto!
 
Ritz, chama,

..lakini inaelekea wananchi wanavutiwa na hizi "drama" za CDM bungeni.

..Tanzania ingekuwa ni jamii iliyoeleweka basi wananchi walio wengi wangekereka na "drama" za CDM, badala yake drama hizo inaelekea ndiyo zinawapa umaarufu.

..kwa upande mwingine, sijui Hamad Rashid ana maoni gani kuhusu CCM[ndani na nje ya bunge] ya wakati wao, na CCM hii ya kina Nape, Nkamia,Mwigulu, na Lusinde.
 
Last edited by a moderator:

Kuna tatizo gani mkiwaburudisha watanzania na comedy? Watanzania wana historia ya kupenda tamthiliya mnawakumbusha enzi zile za kina mzee Jongo; Navishe Havijawa na akina Tangala
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Ritz, chama,

..lakini inaelekea wananchi wanavutiwa na hizi "drama" za CDM bungeni.

..Tanzania ingekuwa ni jamii iliyoeleweka basi wananchi walio wengi wangekereka na "drama" za CDM, badala yake drama hizo inaelekea ndiyo zinawapa umaarufu.

..kwa upande mwingine, sijui Hamad Rashid ana maoni gani kuhusu CCM[ndani na nje ya bunge] ya wakati wao, na CCM hii ya kina Nape, Nkamia,Mwigulu, na Lusinde.

JokaKuu,

Hivi mbunge kama Joseph Mbilinyi anaweza kweli kuibua ufisadi BOT au TRA?
 
Last edited by a moderator:
Bunge la sasa limejaa wabinafsi, kila mtu anataka aonekane kwenye Tv tu hamna lolote.
 
JokaKuu,

Hivi mbunge kama Joseph Mbilinyi anaweza kweli kuibua ufisadi BOT au TRA?
Ritz, chama,

..what about Maji Marefu,John Komba, Lusinde, na wengine wengi ndani ya CCM??

..mimi kwa mtizamo wangu CDM hata wakiibua ufisadi BOT na TRA bado serikali ya CCM haifanyi jambo lolote lile kurekebisha mambo.

..lakini bora hao ambao hatuwategemei kwa lolote lile wakifika bungeni. kuna wale ambalo tumeweka matumaini makubwa juu yao, watu wenye visomo vikubwa vikubwa ndani ya CCM ambao wakishapewa nafasi wanaishia kufanya madudu.

..waziri kama Dr.Eng.Shukuru Kawamba unamuelezeaje utendaji wake? msomi kama Mwigulu Nchemba, a 1st class economist, kwanini anakuwa pimbi kiasi hiki? Unamuelezeaje Omari Nundu historia yake, na utendaji wake ktk serikali ya CCM?

..huko CCM kuna tatizo gani ambapo watu wenye visomo vyao wakishajiunga tu wanageuka MAJIZI na MAJUHA??

..baada ya hapo wananchi wakichagua wapinzani wasiokuwa na visomo nani anapaswa kulaumiwa zaidi ya CCM?
Pasco, Mchambuzi, ZeMarcopolo, Jasusi
 
JokaKuu;
unapoulizwa swali jibu kwanza kabla hujaleta hoja yako vinginevyo utakuwa juha; mkuu Ritz aliuliza "Hivi mbunge kama Joseph Mbilinyi anaweza kweli kuibua ufisadi BOT au TRA?" sasa rudi jukwaani umpe majibu; ukimaliza sasa ndio uliza hilo swali la Maji Marefu, John Komba na Lusinde. Hizi akili zako naona zipo sawasawa na zile za wabunge wako za kurukia hoja; kutoka na uduni wa wengi kutoelemika ndio maana mijadala mingi bungeni inaharibiwa na hicho ndicho mnachofanya makamanda wengi humu jamvini; hivi hamjafundishwa taratibu za mijadala au ndio huo ujuha uliougusia?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa mbona siku hizi kauli zake zimekuwa nyepesi sana au imekuwaje wada? najaribu kumfananisha na mwenzetu kule Zenji (sawasawaaaaaaaaaa ........... sawasawaaaa) maneno haya kwenye mabano hususani pindi alipokuwa akitoa hotuba hatuyasikii tena. Au kwa kuwa kakaribishwa jikoni?
Hahahaaaaaaaaa ....... kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaaa"
 
Mkuu Ritz
Hivi mh. Hamadi Rashid ana biashara ya disko siku hizi? Naona kamanda Molemo amecharuka kutema pumba; ni ulaji gani aliomnyang'anya Mbowe? Hamadi anafahamu vigezo vya kuwa kiongozi wa upinzani bungeni anafahamu fika chama chake hakina sifa ya kuwa nafasi hiyo; kamanda Molemo anataka kulipotosha jukwaa na kukimbia ukweli
Chama
Gongo la mboto DSM

mkuu hamad rashid yupo chama gani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom