Mkuu na mimi ningependa unifafanulie ni kwa namna gani kufukuzwa kwa Hamad Rashidi kuna uhusiano na vita dhidi ya uislamu duniani?Tatizo lipo hapo ukweli wa ndani hautakiwi.
Uasi wa Hamad Rashid ndani ya CUF umepata uungwaji mkono usio wa kawaida katika vyombo vya habari Tanzania kama kwamba tukio kama hilo halijapata kutokea kwa vyama vyengine au ni mara ya mwanzo katika CUF.
Zaidi ya uungwaji mkono huo, sasa msajili wa vyama bwana Tendwa na Jaji Werema nao wameingilia kati kuonesha kutoridhishwa kwao na uamuzi madhubuti uliochukuliwa na uongozi wa CUF.Haipendezi kwa wanasheria hao kushikilia habari za mahakama ilhali viongozi wa CUF wameshasema hawakupokea amri ya mahakama.
Ukweli ambao wanasiasa na wanaJF hawapendi kuusema ni kuwa Hamad ni mtaji maalum wa kukivuruga CUF.Na kwanini iwe CUF?;ni mkakati wa kuimeza Zanzibar.
Kwa upande mwengine CUF si chama cha kiislamu lakini kwa vile kimeasisiwa Zanzibar waislamu ni wengi na hii imekuwa nongwa.Katika mtazamo uliompana huu ni mwendelezo wa kuzima ushiriki wa waislamu katika siasa na hii ni vita ya kimataifa dhidi ya uislamu.
Ni kazi nzito kujua na kuweza kusema kwa uhakika Kati ya Seif Sharif Hamad na Hamad Rashid nani anaongoza kwa uchu wa madarakaHAmad Rashid ana uchu wa madaraka.
Uasi wa Hamad Rashid ndani ya CUF umepata uungwaji mkono usio wa kawaida katika vyombo vya habari Tanzania kama kwamba tukio kama hilo halijapata kutokea kwa vyama vyengine au ni mara ya mwanzo katika CUF.
Zaidi ya uungwaji mkono huo, sasa msajili wa vyama bwana Tendwa na Jaji Werema nao wameingilia kati kuonesha kutoridhishwa kwao na uamuzi madhubuti uliochukuliwa na uongozi wa CUF. Haipendezi kwa wanasheria hao kushikilia habari za mahakama ilhali viongozi wa CUF wameshasema hawakupokea amri ya mahakama.
Ukweli ambao wanasiasa na wanaJF hawapendi kuusema ni kuwa Hamad ni mtaji maalum wa kukivuruga CUF.Na kwanini iwe CUF?;ni mkakati wa kuimeza Zanzibar.Kwa upande mwengine CUF si chama cha kiislamu lakini kwa vile kimeasisiwa Zanzibar waislamu ni wengi na hii imekuwa nongwa. Katika mtazamo uliompana huu ni mwendelezo wa kuzima ushiriki wa waislamu katika siasa na hii ni vita ya kimataifa dhidi ya uislamu.
hata mie niliponusa harufu ya udini nimeamua kuchanja mbuga wasubiri wenyewe wanakuja.Hoja ilikuwa na mashiko ila mwishowe ulipoingiza mambo ya dini ndio umeharibu topic nzima.Heri ya mwaka mpaya 2012
Unanikumbusha kauli ya mzee wa mtera a.k.a tingatinga aliwahi kuwaambia wananchi wasiwape wapinzani kura maana wana uchu wa madaraka cha kushangaza yeye tangu kijana kang'ang'ania madaraka sasa sijui mwenye uchu hapo ni nani?Ni kazi nzito kujua na kuweza kusema kwa uhakika Kati ya Seif Sharif Hamad na Hamad Rashid nani anaongoza kwa uchu wa madaraka
Ukweli ambao wanasiasa na wanaJF hawapendi kuusema ni kuwa Hamad ni mtaji maalum wa kukivuruga CUF.Na kwanini iwe CUF?;ni mkakati wa kuimeza Zanzibar.Kwa upande mwengine CUF si chama cha kiislamu lakini kwa vile kimeasisiwa Zanzibar waislamu ni wengi na hii imekuwa nongwa.Katika mtazamo uliompana huu ni mwendelezo wa kuzima ushiriki wa waislamu katika siasa na hii ni vita ya kimataifa dhidi ya uislamu.
hoja ilikuwa na mashiko ila mwishowe ulipoingiza mambo ya dini ndio umeharibu topic nzima.heri ya mwaka mpaya 2012
.Uasi wa Hamad Rashid ndani ya CUF umepata uungwaji mkono usio wa kawaida katika vyombo vya habari Tanzania kama kwamba tukio kama hilo halijapata kutokea kwa vyama vyengine au ni mara ya mwanzo katika CUF.
Zaidi ya uungwaji mkono huo, sasa msajili wa vyama bwana Tendwa na Jaji Werema nao wameingilia kati kuonesha kutoridhishwa kwao na uamuzi madhubuti uliochukuliwa na uongozi wa CUF.Haipendezi kwa wanasheria hao kushikilia habari za mahakama ilhali viongozi wa CUF wameshasema hawakupokea amri ya mahakama.
Ukweli ambao wanasiasa na wanaJF hawapendi kuusema ni kuwa Hamad ni mtaji maalum wa kukivuruga CUF.Na kwanini iwe CUF?;ni mkakati wa kuimeza Zanzibar.Kwa upande mwengine CUF si chama cha kiislamu lakini kwa vile kimeasisiwa Zanzibar waislamu ni wengi na hii imekuwa nongwa.Katika mtazamo uliompana huu ni mwendelezo wa kuzima ushiriki wa waislamu katika siasa na hii ni vita ya kimataifa dhidi ya uislamu.
We poa tu.Mfumo kristo kwa Tanzania at work.hivi kumbe maalimseif ni mkristo?
huyu jamaa simwelewi,au kikwete ndiye anayepiga vita uislamu?cuf ilikubali ndoa na ccm mwenyekiti wa ccm ni mwislam cuf ni mwislamu.
ccm ndiyo inayouvuruga upinzani,sasa tuambie anayeupiga vita uislamu ni nani?