Hamad Rashid kapewa muda mrefu zaidi kuchangia bungeni.

Hamad Rashid kapewa muda mrefu zaidi kuchangia bungeni.

Lugogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
304
Reaction score
67
mbunge wa mahakama kapewa muda mrefu leo kuchangia bungeni zaidi ya dk 20 na samwel sitta anayejiita mzee wa viwango.
 
Sitta kakwama kwenye matope na gari yake haina 4*4 sasa hawezi kutoka. Speed imeishia hapo.
 
Kweli chura hata angepiga kelele bado ng'ombe angekunywa maji bila taabu.
 
hii ni felia kubwa sana kwa mbio zake za urais ameonyesha udhaifu mkubwa sana
 
Amezungumza mambo mazito kwa maslahi ya Taifa. Mwenyekiti alipitiwa.
 
mbunge wa mahakama kapewa muda mrefu leo kuchangia bungeni zaidi ya dk 20 na samwel sitta anayejiita mzee wa viwango.

Ukawa wenu si hawapo wametoka Sasa mnaangalia bunge letu la nini?
 
CCM hawajielewi, wanawaponda UKAWA kwa kususia bunge halafu wanawaomba warudi bungeni.

Kama wanawaponda waendelee na shughuli za bunge,kama wanaona wanaweza achieve wakitakacho.
 
Dawa inaingia kwa kasi sana wana Ukawa tulieni mapepo yawatoke mrudi kwenye mstari
 
Point, point, kafunguka sana huyu jamaa, hata angepewa dk 30, sawa tu.
 
Huyu acha achangie kwani hata uko Wawi Pemba hakai.

NI MPEMBA WA KARIAKOO,HANA MACHUNGU NA ZANZIBAR
 
Mh. Zitto naye ameikosa hii fursa. Pia leo nimeihakiki kauli ya mh. Zitto, alituambia tusije tukawaamini wanasiasa (either awe mtawala ama mpinzani). Leo nimemshuhudia mh. Ahamad rashid akitofautiana na CUF kwa 100%, na kuungana na CCM kwa 100%.
 
Back
Top Bottom