Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid, amesema maneno yanayotolewa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa CUF ni CCM B. ni ujanja unaotumika kuwahadaa wananchi, ili wasitambue uswaiba wa Chadema na CCM.
Alisema Chadema ni chama chenye uswaiba mkubwa na CCM na kwamba, kimekuwa kikipewa fedha na makada wa chama tawala, ndio kimbilio la vigogo wanapohama chama tawala, Alibainisha hayo juzi alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa oporesheni kitaifa ya Zinduka, awamu ya pili itakayoendeshwa nchi nzima kwa viongozi wa Cuf kuwaeleza wananchi kuhusu mustakabali wa taifa hili.
Katika mkutano huo ulifanyika katika Uwanja wa Tangamano na kuhudhuriwa na Umati mkubwa wa watu. mbunge huyo alisema kauli iliyoanza kutolewa hivi karibuni kuwa CUF ni CCM "B" ni njama ya vyama hivyo viwili yaani Chadema na CCM kuwahadaa kwa makusudi wananchi wasijue kuhusu uswahiba uliopo baina vyama hivyo. alisema Chadema ina uhusiano wa karibu na CCM kwani ni chama pekee cha upinzani kinachoungwa mkono na baadhi ya vigogo wa waliopo madarakani. katika Serikali ya CCM na hata waliostaafu, Chadema inaangaliwa kwa jicho la karibu na CCM sababu imeandaliwa kwa ajili ya wabunge au vigogo wa CCM kuhamia, nadhani wenyewe mnashuhudia hakuna kigogo anayehama CCM na kuthubutu kuja CUF kwa kuwa wanao tuna msimamo usiokuwa wa kuyumba. alisema Hamad Rashid.
Source Mwananchi Machi 24, 2011
Sema sema sema mheshimiwa ni la mwiisho Chadema ni chama cha Kikanda, kikabila na Kidini zaidi.

hivi huyu mchangiaji namba mbili amekaa kama jina lake la pili kama litaongezewa helufi 'u' na kusomeka hafifu, shame to him.
JAMANI mwacheni mh.Rashid alonge kwani siku hizi bila kuisema CDM hujawa maarufu.CDM ni mti wa maembe siku hizi kila mwnasiasa anataka kuangua apate tunda kwa afya yake.Rusha jiwe Mh.Rashid wakusikie, mwenyekiti wako Prof.Pumba ndiyo zake siku hizi kabla hajalala lazima atamke CDM.PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS
Nimeipenda sana hii kweli CUF wamekomaa Kisiasa. CDM ni chama cha maigizo na chama cha watu wanaotaka kupanda kwa haraka, chaka la watu wanaotetea matumbo yao wakiona wamekosa vyama vingine au umaarufu wao umeondoka kwenye vyama vyao wanakimbilia chadema, mifano mingi. Lwakatare wa CUF, SHIBUDA CCM, na wengine wengi......
Hao Viongozi wote wa CUF walitoka Wapi? hata yeye alikuwa Mshauri wa Rais Mwinyi wakati huo haupati madaraka hayo kama wewe sio CCM