charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
Hatimaye kigogo wa siasa za upinzani mhe Hamad Rashid amepita bila ya kupingwa katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa bungeni dodoma. Alikuwa akigombea ukamishna wa kamati ya utumishi wa wabunge. Chadema wamkubali na Mhe Shibuda ajitoa na kumuachia.
hii ilishapangika kabla hata hawajaingia bungeni...Hamad Rashid apate kamisheni ya utumishi wa bunge na Shibuda apate APRA ... sasa mleta mada amecharuka anaona ni breaking News
Shibuda apita bila kupingwa kama muwakilishili wa APRA. Kisha mbunge mmoja alete ngonjera zake tena.
Ilipangwa wapi na lini? siku chadema wanaongea na CUF? (wameshakubali kuoana??)
lunatic and paranoid
Brainwashed mind
duu.. kweli wewe ni kilaza brain washed mind ..yaani mind imekua brainwashed ..... uwe unaandika kiswahili bana ...hukitendei haki kiingereza
Hatimaye kigogo wa siasa za upinzani mhe Hamad Rashid amepita bila ya kupingwa katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa bungeni dodoma. Alikuwa akigombea ukamishna wa kamati ya utumishi wa wabunge. Chadema wamkubali na Mhe Shibuda ajitoa na kumuachia.
Siamini hii habari ni ya kweli? CDM hawajatoka nje...........? lol natania tu jamani mziniporomoshee mawe....
hatimaye kigogo wa siasa za upinzani mhe <font color="red">hamad rashid amepita bila ya kupingwa</font> katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa bungeni dodoma. Alikuwa akigombea ukamishna wa kamati ya utumishi wa wabunge. Chadema wamkubali na mhe shibuda ajitoa na kumuachia.
Siamini hii habari ni ya kweli? CDM hawajatoka nje...........? lol natania tu jamani mziniporomoshee mawe....
Ndo nini hii