Hamad ndie mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana CCM, pengine huu ndio wakati muafaka wa kuweza kumjua vema mwenyekiti huyu mpya. Wasifu wake na historia yake...
Well, ni vema kumjua Mwenyekiti huyu[/COLOR], na Iwapo yupo tayali ni vema nae akajiunga katika mada hii na kutupa yake machache juu ya kazi yake hiyo mpya...!
Hakuna alotoa wasifu wake mapema mpaka imefikia 2010 mambo yakasanuka!Hebu weka CV yake tumchambue!
Hakuna alotoa wasifu wake mapema mpaka imefikia 2010 mambo yakasanuka!
Too late!
Hah hahahaha.....
Hili ndio kosa tunafanya kiiiila siku!
Inabidi tuwe tunapata tambala (info) la mgombea kabla ya kumpigia kura!
Kuhani ni kuhani tu!!! you said these in 2008 and in 2010 we definitely see what you meant!!
the good ol'JF in the flesh!!!
i miss the golden era mazeeKuhani,Mama,Dilunga,YNIM,GT.........Kibunango naye ndo hivo tena............Sijui wako wapi hawa
Kuhani,Mama,Dilunga,YNIM,GT.........Kibunango naye ndo hivo tena............Sijui wako wapi hawa
Kuhani ni kuhani tu!!! you said these in 2008 and in 2010 we definitely see what you meant!!
the good ol'JF in the flesh!!!
mzee wa dataaz ndo mpambe HALISI wa NAPE NNAUYE ubunge-ubungo,Nakumbuka YNIM,KUHANI,DILUNGA walivyokuwa wanapigana madongo na Nyani Ngabu ,ukweli JF hii imepoza mno.Hata Mzee wa Dataz nae kaingia mitini sijui amepata jimbo