Halowini

Halowini

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
7,331
Reaction score
9,542
[emoji3][emoji3]
GBWA-20181102133408.jpeg
 
Siku ya kumuadhimisha Lucifer duniani. Inaenda sambamba na sikukuu ya kikatoliki ya all saints day. Kwenye Halloween watu wanavaa mask za kutishatisha wakitukuza ukuu walucifer. Japo Lucifer hatishi kwa sura.
Hivi Lucifer hatishi??atakuwa anavutuia??
 
Ichi kiemoji nakipenda sana haswa kikiambatana na comment matata[emoji1787][emoji1787]
Wachache sana wanakipatia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani noma sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku ya kumuadhimisha Lucifer duniani. Inaenda sambamba na sikukuu ya kikatoliki ya all saints day. Kwenye Halloween watu wanavaa mask za kutishatisha wakitukuza ukuu walucifer. Japo Lucifer hatishi kwa sura.

ila hii sherehe haina maana🙂
 
Huku kuna HALOTELL,HALOPESA

HELLO, HALOO

ila ukisikia HAROOO, kimbia huwezavyo
 
Siku ya kumuadhimisha Lucifer duniani. Inaenda sambamba na sikukuu ya kikatoliki ya all saints day. Kwenye Halloween watu wanavaa mask za kutishatisha wakitukuza ukuu walucifer. Japo Lucifer hatishi kwa sura.
Kati ya celebs walotisha tisha ni Michael Stunted yaan sijui alivaa manini!....jini si jini khaa!
 
Back
Top Bottom