Halotel wamenikosha sana roho Jamani
500MB shillings 500
1000mb shillings 1000
15gb elfu kumiiii na dakika na sms kibaoooo nani kama Halotel hakuna jamani Hamieni halotel huku mambo ni mazuri....
weka pesa yako halopesa.... utweza kujiunga vifurushii hivii.......
hawajawhi kuniangusha niko nao snice 2015 till now hawajawahi kuniboaa..

Kifurushi kipi mkuu unapo pata 500 mb Kwa 500?
Kifurushi kipo mkuu,Kifurushi kipi mkuu unapo pata 500 mb Kwa 500?
Wapi naenda mkuu Kwa kupata kifurushi icho Mimi natumia line ya chuoKifurushi kipo mkuu,
Binafsi najiunga kifurushi cha
GB 1 +
Dakika 100 +
Sms kwa Tsh 1,000 tu,
na hiyo ni kwa wiki.
Upande wa Intaneti wako vizuri, kuangalia video Online bila "kugomagoma" wala nini.
Kitu cha MB's 450 huwa nadownload ndani ya dakika kadhaa.
Binafsi sioni zaidi ya Halotel.
Halotel, Pamoja katika Ubora.
Ni mkate fulani hivi wa nyamaHalotel nd nini
Tatizo ni kuipata hiyo halopesaHalotel wamenikosha sana roho Jamani
500MB shillings 500
1000mb shillings 1000
15gb elfu kumiiii na dakika na sms kibaoooo nani kama Halotel hakuna jamani Hamieni halotel huku mambo ni mazuri....
weka pesa yako halopesa.... utweza kujiunga vifurushii hivii.......
hawajawhi kuniangusha niko nao snice 2015 till now hawajawahi kuniboaa..
Kuna siku niliunga lile la usiku kwa 1000 unlimited internet dah nilijuta ni mwendo wa 123.56 KB/sHizi ni promotion kutoka kwa vijana wa Halotel wanakuja kivingine. Kifupi halotel hamna kitu kwa sasa
Nenda kwa wakala mpe elfu kumi akutumie salio halopesa au weka hela kwenye mtandao wako mwingine wa simu then jitumie pesa kwenye halopesaTatizo ni kuipata hiyo halopesa
Inategemea na eneo ulipo mkuuKuna siku niliunga lile la usiku kwa 1000 unlimited internet dah nilijuta ni mwendo wa 123.56 KB/s