Halotel, Voda, Airtel, Zantel zapasua mawingu Tigo ovyoo!

CtccpT7WEAA4t3n.jpg large.jpg
 
Nusura kikipasue hiki kilongalonga changu aisee kumbe ni tatizo la kitaifa?
 
Hivi uongozi wa TCRA haujawai kutumbuliwa palee?naona wamejisahau.tunakuomba mkuu wa nchi,ufanye kazi yako.akiguswa mmoja tuuh.tutaona ufanisi wa hiki kitengo.
 
Kweli kuna tatizo, nimeshuhudia mtu mzima akifokewa leo na boss wake kwa kukosekana hewan na kuikosesha Kampuni ulaji na utetezi akasema mtandao wa tgo ulikata. Tgo wamemharibia kwel kwel kwa boss ikizingatiwa ndio siku ya 3 kazini.
 
Tigo wameleta mtindo wa kukata salio hata kama hujatumia simu kabisa. Nimeweka 1500 asubuhi, simu ikawa haina chaji, imefika mchana nata kujiunha baada ya kuchaji nakuya nimekata 300, jumatatu ilikiwa hivyo hivyo.
 
Salaam jf.
Leo hukukwetu kuna manyunyumanyunyu lakini chakushangaza kama kawaida yake tigo na mawingu vimekuwa haviendani kabisa yaani leo huduma zangu zote zimefeli kwa ajili ya huu mtandao wa grade zero, yaani nyie tigo mnaboa sana mbona wenzenu wanapiga bawa na kupasua anga. Yaani mawingu yakiisha imebidi mnilipe fidia ya usumbufu eidha muda wa maongezi au wa internet.
..Tigo Bado Iko Local,watumiaji kama wote mpka inazidiwa kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom