Halotel usajili wa line kwa alama za vidole majanga matupu

Usihofu,endelea kutumia Laini yako ya Halotel haifungiwi,,
Halotel hawajaanza kusajili kwa mfumo wa alama za vidole,,
Huduma hiyo ikianza utahudumiwa popote pale ulipo tanzania,Halotel inamawakala nchi nzima.
Waungwana
Mimi ni mtu wa mkoani ndanindani kabisa huko
Sasa wiki hii nilipta nafasi ya kuja Dar nikaona ndio fursa ya kukamilisha kusajili namba zangu zote kwa mfumo wa wa alama za vidole
Nikaenda odisi ya Voda nikasajiliwa bila usumbufu, nikaenda ofisi ya halotel nikaambiwa njoo kesho, nikaenda tena nikaambiwa njoo kesho
Sasa nimeenda ofisi zao tofauti tofauti nara 5 na sijafanikiwa ....majibu yao ni mepesi tu "njoo kesho"
Muda wangu wa kuwepo Dar ukaisha na kurudi mkoa

Wakuu tatizo lao hawa Halotel ni nini ?
Kama Dar tu imeshindikana je kijijini huko Tunduru hali si tete....
 
Usihofu,endelea kutumia Laini yako ya Halotel haifungiwi,,
Halotel hawajaanza kusajili kwa mfumo wa alama za vidole,,
Huduma hiyo ikianza utahudumiwa popote pale ulipo tanzania,Halotel inamawakala nchi nzima.
Nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom